Brother wangu kama masihara ametimiza miaka 40 akiwa bado kula kulala

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Huyu ni mtoto wa baba Mkubwa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpaka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpaka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauri kitu kuhusu maisha. Je, nimshauri nini
 
Huyu ni mtoto baba Mkubwaa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauli Kitu kuhusu maisha je nimshauli nini
Waliomvumilia ndiyo wa kulaumiwa. Kwanini wasimpige chini? Ataoa lini au anangoja kuolewa? Je anaishi Kinondoni, Mombaza au Zenj?
 
Back
Top Bottom