I think this is what Kills him..... Kuumbua watu sio kitu kizuri.......[/QTE]
nahitaji tafsiri ya neno "umbua"kwa maana niijuayo mie ni neno sahihi sana na ambalo ndilo lilisababisha tukawajua mafisadi wa njii hii. na waumbuaji wameibuka kuwa mashujaa ambao leo tunawapigia upatu wadumu daima milele na wapate zaidi kuliko jana na leo.kama ni ye kaumbua yasiyotakiwa kuwa dhahiri then tunanuna dawa sio kununa. ni kuacha kutenda maovu yanayo kinzana na jamiiii