HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Hata mimi nilipoiona hiyo picha nipata maswali ambayo ilibidi nikae tu kimya
Hapo ujue ndani ya Kampuni kuna maujanja yanafichwa ndio maana ana leta 'executives' kutoka India.
Hata mimi nilipoiona hiyo picha nipata maswali ambayo ilibidi nikae tu kimya
Ooh sorry....tufanye ww ni MrundiKila aliyeko humu kwa JF ni mbongo ?
Either WayOoh sorry....tufanye ww ni Mrundi
Uaminifu mdogokuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Kwa sababu hawautaki urafiki wako wa dhati. Hao ndugu nimesoma nao , nimechza nao, tumekuwa pamoja na hata lugha yao naizungumza, lakini huwezi kuwa nao, wewe na mimi ni GOLO kwao. Wanatuita Golo ama kalya kiswahili Giza ama jeusi.Mimi mweusi sina rafiki muhindi hata mmoja.
Mkuu hao jamaa ni wabaguzi sana,wala sio siri.Tulisema huko nyuma kwamba hawa jamaa ni wabaguzi kwa kuzaliwa tukaambiwa na sisi kwa kusema hivyo tunawabagua.Mimi tangu nizaliwe sijawahi kuona binti wa Kiasia aliyeolewa na Mswahili na kama wapo ni wachache sana.Frankly nashangaa watu wanaowachagua Wa-Asia kama Wabunge wao,shida ni nini hasa?Hivi hakuna Mswahili mwenzetu anayefaa kweli?Kwao wenyewe wanabaguana mpaka eti kuna watu wenyewe wanaowaita "untouchables,"eti kwa kuwa wana ngozi nyeusi!kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Tupo pamojaHao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Mkuu SONGOKA kabla kuutuma Uzi huu ulitakiwa kudodosa kidogo historia ya kampuni hiyo. Uliwahi kusikia shirika lililoitwa GAPEX ? Unajua moja ya hoja zilizompa umaarufu mgombea urais wa NCCR-Mageuzi kwenye kampeni za mwaka 1995 zilihusu kampuni hiyo? Mkuu usifukue makaburi. Ushauri wangu katafute magazeti ya Rai, motomoto, mfanyakazi na majira ya mwaka kati 1992-1995. utapata sababu ya hoja zakokuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Wahindi na waarabu na wachina ni wabaguzi sana. Kuna duka linairwa cash sale store wanauza vifaa vya Umeme Moro rd DSM, wafanyakazi ni wahindi watupu, weusi ni wabeba mizigo tukuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Ubaguz wa langikuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Tukuyu ivi uko kwenu mbona kumesahaulika sana ni nchi ya malawi au nayenyewe Tz..nasisi watufikilie bhaana flyover ,,tren mwendo kasi viwanda..sijui tulimuuzi nn bossJibu zuri sana.
Endelea kuharisha ukikua utaachaKampuni ni yake bado unampangia kaaaaaaah