Brother Mo Dewji, seriously??

Brother Mo Dewji, seriously??

Kweli hakuna mtanzania mwenye vigezo?

Inawezekana kweli Wahindi wanajibagua sana, tukiacha wale wahindi wa Zamani wazalendo waliokuwa Polisi, jeshini nk. Hibi kweli kwa miaka hii umeshawahi kumuona Muhindi Mwanajeshi, Police, uhamiaji, Fire, Magereza nk. Au kwenye ofisi yoyote ya Seriakli au Wizara yoyote?
kulikuwa na mtanzania mwenye asili ya kihindi akiwa waziri wa mambo ya ndani kama sikosei kipindi cha Kikwete
 
Kipindi cha Kikwete?, sidhani au unamzungumzia Amir Jamal wa kioindi cha Nyerere?, wakati wa Nyerere walikuwa wengi tu Mapolisi, mahakimu nk
 
kipindi cha Kikwete nakumbuka ila jina limenitoka alikuwa Waziri wa mambo ya ndani mwenye asili hio
 
Kwani moo ni mweusi...ndege wa rangi moja huruka pamoja....hata sizonje kagoma kwenda arusha kwakuwa wale si wasukuma...sasa ajabu hapo nn
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
He is very serious ndiyo anaowaamini na utakuta ni raia
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY

Ubaguzi mpaka kwenye miguu na bado mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe wenye kusikia watasikia:Msikilize mwenye Chama Chake

h
Hata mimi nilipoiona hiyo picha nipata maswali ambayo ilibidi nikae tu kimya
Hivi nyie mnaolalamika mmeajiriwa na Mo? Mambo ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe kapalilieni mahindi kabla mvua hazikata msije lia njaa mkasema tena mbona Mo yuko dining table na wanawe tu wakati watoto wa jirani wanalia njaa
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Mo ni mtoto wa Dar na anawajua ndugu zake wa Kitanganyika kwa kupiga ma deal unadhani mjinga akawaweke katika kampuni yake? Mnapewa makampuni ya umma mnaiba je mtashindwa kumuibia mtu binafsi.

Acheni kulalamika mjifunze kuwa wasafi kazini ndipo mtafikiriwa......
 
Ubaguzi mpaka kwenye miguu na bado mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe wenye kusikia watasikia:Msikilize mwenye Chama Chake

Achia ubaguzi. Mo anajua watanzania golo ni matapeli na wezi hivyo hata ningekua mimi nisingeajiri. Mbona hamuulizi Anthony Diallo aliyewajaza wazungu Sahara???? Hakuna mtanzania ambaye ni kamili ataajili watanzania kushika nafasi za juu ukiona hivyo ujue na yeye ni longo longo.
 
Yeyote aweza kuwa mbaguzi ama wa kabila au wa rangi na hata elimu na mali. Kuna ubaguzi wa taifa na maeneo pia . Ila kijumla mara nyingi weupe huwabaguwa weusi kwa kudhani tu labda weupe una ubora dhidi ya weusi. Kwa makabila wabaguzi namba moja duniani ni wayahudi, pili wahindi, tatu wazungu (kwa baadhi ya mataifa) na mwisho ni waarabu. Waarabu wamekuwa nafuu kidogo kwa sababu ya evolution kwamba yasadikiwa asili zao za kale zilitokea Afrika, lakini pia kwenye dini ya kiislam ambayo waarabu wengi huifuata ni Haramu kufanya hata ishara ya ubaguzi na dhambi iliyo kubwa sana.
 
Hili swala uenda chini ya magufuli likachemshiwa dawa huku sector binafsi Kazi anayoweza mtz analetwa mtu wa nje.anapangiwa nyumba masaki au njiro usafiri juu.lakini wabongo wanaoweza kuwa cheo kimoja na huyo mishahara yao haina uwiano kabisa.
 
Waafrica wanabanguana wenyewe kwa wenyewe...... Wabongo Halafu ni wezi sana
 
Achia ubaguzi. Mo anajua watanzania golo ni matapeli na wezi hivyo hata ningekua mimi nisingeajiri. Mbona hamuulizi Anthony Diallo aliyewajaza wazungu Sahara???? Hakuna mtanzania ambaye ni kamili ataajili watanzania kushika nafasi za juu ukiona hivyo ujue na yeye ni longo longo.

Tatizo letu kubwa watanzania ni maneno bila vitendo.
 
Back
Top Bottom