Brother Mo Dewji, seriously??

Brother Mo Dewji, seriously??

Mkuu hao jamaa ni wabaguzi sana,wala sio siri.Tulisema huko nyuma kwamba hawa jamaa ni wabaguzi kwa kuzaliwa tukaambiwa na sisi kwa kusema hivyo tunawabagua.Mimi tangu nizaliwe sijawahi kuona binti wa Kiasia aliyeolewa na Mswahili na kama wapo ni wachache sana.Frankly nashangaa watu wanaowachagua Wa-Asia kama Wabunge wao,shida ni nini hasa?Hivi hakuna Mswahili mwenzetu anayefaa kweli?Kwao wenyewe wanabaguana mpaka eti kuna watu wenyewe wanaowaita "untouchables,"eti kwa kuwa wana ngozi nyeusi!
unataka mswahili umuoe muhindi uende ukamlishe makande na bamia?
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Usipojua kwa nini Mbongo haaminiki basi hutopata nafasi ya kuajiriwa kwenye hizo Top execs unazosema
Kwa zaidi y 90% ya Wabongo sio committed, sio devoted, sio trustworthy, yaani we acha tu, ningesema mengi
Kifupi hata Mimi Leo nikipata fursa ya kuajiri ktk kampuni yangu sisumbuki na Wabongo. Nitangaze maslahi ujulikane kwamba Mimi pia ni muajiriwa wa sector binafsi ktk kampuni moja kubwa ya wazungu
 
Mbona kuna mtu huko Arusha alizungumzia mambo ya ubaguzi hivi majuzi tu.Itakuwa alipata maono kuhusu wahindi...???
 
Wahindi achana nao kabisa sio wenzetu. Nashangaa mijitu mingine inawachagua watu hawa wahindi kuwa wabunge au madiwani. manunda kweli nyie watu wa maeneo hayo. Sie kule kwetu tunafundishwa 'ukumpatia mhindi chukua kila kitu hata sindano usiache'.
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Tuacheni fikira mfu hizi, mi nina rafiki yangu Mhindi kaoa mrangi, inaweza isiwe hivyo sana, lakini mbona hata humu kwetu ukiangalia ratios za makabila tofauti kuoana mbona ndogo?
 
Wahindi,waarabu na wachina ni wabaguzi sana. Nashangaa sana NHC mpaka magufuli kasema nyumba zisiwe na wapangaji wa rangi fulani tuu.

Kwake MO kama mfanyabiashara itamletea shida sana hana diversity ndio maana kuna nchi huwezi kukuta wahindi wengi kama westafrica
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
wabongo bhana kwani yy ni black? hofu ya nn kwangu Gadafi alikuwa mwafrika wa kweli kuliko wengi waafrika weusi
 
unataka mswahili umuoe muhindi uende ukamlishe makande na bamia?
Mbona hata wao wanakula bamia mkuu,I mean some of them are just as poor as Swahilis,and there are reacher Swahilis.Kwa hiyo hiyo sio sababu ya msingi mkuu.Wewe umeshafika Uhindini country side,umaskini ulioko huko acha,inatisha.
 
Nafikiri ipo haja kwa serikali Ktk ku promote diversity , kuweka sheria kwa makampuni yenye mitaji mikubwa kuwa Na organization structure Na recruitment policy iliyo ya wazi.
Hii ya kusema family business au uajiri wa ndugu au watu wa karibu iwe kwa Biashara ambayo mtaji wake ni mdogo . Lakini utakuta kampuni inapewa tic certificate , au ni large tax payer lakini hawana organization structure au recruitment policy ilio wazi.
 
hivi unaweza kufungua company india na usiweke muhindi kwenye top management?? hata accountant ??? h ha ha
Accountant wa kibongo hana ujuzi wa kukwepa kodi Na false accounting
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Can't believe umeandika huu uchonganishi ktk jamii yetu. Mambo ya mtu binafsi unayaingilia vip?
 
Watanzania tuacheni ubaguzi. Waarabu wahindi wachina ni nduguzetu haswaa, naomba MAGUFULI hawa watu uwakaribishe kwa mikono miwili. Ni watu wema mno na wameiendeleza tanzania vilivyo.
 
Can't believe umeandika huu uchonganishi ktk jamii yetu. Mambo ya mtu binafsi unayaingilia vip?
Mchonganishi ni yule aliyeweka picha kwenye mtandao, kwa wasifu wa Mo picha hiyo ni lazima ingezua maswali, kama tafrija imefanyika nyumbani kwake haina shida ni picha nzuri na mambo binafsi, lakini kama ni sehemu ya kazi picha imekaa vibaya na haipendezi.
 
Back
Top Bottom