BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,593
- 21,978
kwani Extrovert sio mwanaune mwenzenu?, kwahiyo mlimkua mnampa yoteπHuyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?
Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.
Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.
Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali?
Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili.
Bring back Evelyn Salt.
wapi ππππ€£Evelyn Salt yupo nyonyo yupo titi
Mnafanya nini huko na braza Evelyn?Salt yupo na mimi hapa,amesoma huu uzi na anacheka sana.
Mwambie apokee simuSalt yupo na mimi hapa,amesoma huu uzi na anacheka sana.
Nasikia braza Evelyn yuko jando?Kweli ugomvi wa jf usichukulie seriousπ
ππππAtakuwa kabdili jinsia, kawa na kende maana mdogo wangu Monetary doctor humwita bro.
Mipango ya kimaisha tu huku kila mmoja wetu akiwa na kaglasi kake ka Gongo na sigara pori.Mnafanya nini huko na braza Evelyn?
hapana kuna mahali niliona unamwambia mtu utampelekea moto mpka akimbie, wakati mi najua madem ndo wanapelekewa hawapeleki waoπWizo kumbuka mimi ni demu.
Ahahaha mapenzi yafutweKanapenda mapenzi hako