Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

Tupo laaziz karibu ufurahike
Ahsante sana my sweetheart.
Nishaanza kuserereka na kuserebuka mwenyewe baada ya kulog in , mara paap nikakuona kwa mbali nikakimbia hadi nikafika hapa ulipo
 
Hatarihatari ndo maana natumia kiswahili kiingereza sikijui, kuna mtu alinifata pm na kiinglish nikamwambia ngeli siijui zungumza Swahili huwezi potea akatiririka weee nikamjibu kilugha tena bonge ya insha mpaka leo sijamuona
Una wateja wengi pm dada yetu
 
Hatarihatari ndo maana natumia kiswahili kiingereza sikijui, kuna mtu alinifata pm na kiinglish nikamwambia ngeli siijui zungumza Swahili huwezi potea akatiririka weee nikamjibu kilugha tena bonge ya insha mpaka leo sijamuona

My ribs
 
tapatalk_1511310724852.jpeg
 
Back
Top Bottom