Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
tusiwaonee sana FB...hata JF wapo mbona (whisper) 














Duu fb nako ni shidaaaaaa
Oko jamani!
😂😂😂😂 hatari sanagari halina kinong'onezi
ya mungu mengi
hapa kakosea nini kwani?
Nimekupenda bure, maana hata mimi ni mdau wa kiswahili na sipendi baadhi ya watu wanavyokibananga kwa kuchanganya na kiingereza hatimae kuwa "kiswanglish"Hatarihatari ndo maana natumia kiswahili kiingereza sikijui, kuna mtu alinifata pm na kiinglish nikamwambia ngeli siijui zungumza Swahili huwezi potea akatiririka weee nikamjibu kilugha tena bonge ya insha mpaka leo sijamuona
Kakosea kuchanganya kiswahili na kiingereza "kiswanglishi" halafu hilo neno la kiingereza "Rest In Peace" au RIP kwa kifupi hutumika kwa watu waliotangulia mbele ya haki yaani Marehemu/Hayati.hapa kakosea nini kwani?
sisi tunaangalia maana ya neno hatuangalii linatumika wapi kwani "rest in peace "maana yake nini?Kakosea kuchanganya kiswahili na kiingereza "kiswanglishi" halafu hilo neno la kiingereza "Rest In Peace" au RIP kwa kifupi hutumika kwa watu waliotangulia mbele ya haki yaani Marehemu/Hayati.
"Rest In Peace" maana yake pumzika kwa amani. Lakini ikiwa unataka kuijua lugha na kuitawala sawa sawa ni vema kujua aina ya maneno na yanatumika wakati gani na sehemu gani!! Ukiangalia maana ya neno bila kujali linatumika wapi unaweza kuchekesha wagonjwa na kupotosha watoto.sisi tunaangalia maana ya neno hatuangalii linatumika wapi kwani "rest in peace "maana yake nini?
kwani kupumzika kwa amani ni mpaka uwe umekufa?"Rest In Peace" maana yake pumzika kwa amani. Lakini ikiwa unataka kuijua lugha na kuitawala sawa sawa ni vema kujua aina ya maneno na yanatumika wakati gani na sehemu gani!! Ukiangalia maana ya neno bila kujali linatumika wapi unaweza kuchekesha wagonjwa na kupotosha watoto.
Kuna ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili "Rest In Peace" au "Pumzika kwa Amani" imekaa kiroho zaidi kwa maana Marehemu/Hayati akiisha fariki mwili unazikwa lakini roho inakwenda kusubiri hukumu siku ya mwisho. Lakini ukiwa hai unaweza kupumzika lakini siyo kwa amani maana bado changamoto zinakusubiri.kwani kupumzika kwa amani ni mpaka uwe umekufa?
inategemea Sasa na aliesema amelenga kumaanisha kitu ganiKuna ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili "Rest In Peace" au "Pumzika kwa Amani" imekaa kiroho zaidi kwa maana Marehemu/Hayati akiisha fariki mwili unazikwa lakini roho inakwenda kusubiri hukumu siku ya mwisho. Lakini ukiwa hai unaweza kupumzika lakini siyo kwa amani maana bado changamoto zinakusubiri.
Ushahidi wa picha ulionyesha amepumzika baada ya kumaliza majukumu fulani ya kila siku.inategemea Sasa na aliesema amelenga kumaanisha kitu gani