Broken hearted

Broken hearted

Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart fails me.

What do I do now?

Pole sana

Yaani Moyo umepasuka kama huyu!!!

broken heart.gif

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
pole dear...
mwache apite kuleee maisha yanaendelea i believe u have a life of your own apart from ile mlokua mnashare ko jenga maisha yako kadadaa.
 
jikaze ndugu...everything happens for a reason!!
 
Pole sanaWakati mwingine ni vema kujiwekea muda Fulani endapo utapita basi songa mbele maana kwa mwanamke kupoteza miaka yote hiyo ndio maana unawaza kama utapendatena au kumsamehe. Amini nakuambia utapata mwingine na kumsahau huyo alykutena.
 
Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart fails me.

What do I do now?
Utapenda tu,
 
Pole sana, endelea na maisha yako tu. Bahati nzuri Mungu aliumba sahau hivyo nawe utaweza kumsahau huyu na kukuta na mwingine ambaye labda anaweza kukuletea furaha tena katika maisha yako.

Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart fails me.

What do I do now?
 
Nikupe pole tu mkuu,maana maumivu ya hii sector hayavumiliki hata ungekuwa unabeba vyuma 100Kg.Kuna kipindi nilishawahi kuwa kama zoba yan,hata likitajwa jina lake moyo unastuka.Furaha yangu huwa naipata sana kwenye mpira ila kwa bahati mbaya na huko kocha wa timu yangu ndio alikuwa David Moyes basi dah.Namuombaga Mungu tu ile hali isijurudie maana nlikuwa nahisi kabisa kuwa moyo ulikuwa unaelekea kusimama.

Any way pole once again mkuu
 
[h=1]How To Let Go Of The Past & Heal A Broken Heart[/h]
In Estern society, where productivity and getting s**t done reigns supreme, there's often the mantra that we just need to “get over” stuff. When we are growing, looking back on the past can be more disturbing and produces additional opportunities to let go some more. It can be frustrating (I thought I was over this!) but look at it as a way to take out your emotional trash and travel towards that next relationship sans extra baggage.
 
But friend how will I face people, my family knows him, all of my friends and his too,we have more than 6years....moyo unauma,Hivi siku akifunga ndoa na mwanamke mwingine will I stand the pain?! After nimewakataa wengi Sana,kuna kipindi nlitaka kuchumbiwa nkakataa kabisa nkasema nyumbani namsubiri yeye,sometime I regret the day I met him

Yakabili maumivu yako, hurt till you can't hurt anymore, then live to tell it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom