Broken hearted

Broken hearted

prado

I assume and beleave to be true that...Una upeo mzuri and so u date a person mwenye upeo mzuri pia...basing on this assumption nw....naamini lazima kutakua na sababu ya yeye kufanya hivyo....iwe kubwa or ndogo....reasonable or unreasonable....and mind you...KWENYE MAPENZI HAKUNA JAMBO DOGO.....
So..my advice is....find him...tok to him face to face....then find out from him what hapened....kama ulimkosea pasipo kujua...u know wat to do....na kama ana mambo yake tuu....u l know what to do in a better way kuliko kukaa tuu na hujui exactly what is goin on.. (sory for mixing up languages).

Pole san hat Mimi yalinikuta kama yako but now nishaanza kusahau najichanganya na watu naangalia muv na kuchza gem


Pia epuka kukaa mwenyew na kusikiliza nyimbo za taratibu kama kuna watoto jaribu kua nao karibu ukicheza nao. Yataisha tuuu
Pole sanaaaaaa akikukataaa jua kakuepusha na mengi
 
Last edited by a moderator:
inaonekana watu wengi huku JF wana experience ya kupigwa chini kwenye mapenzi maana mna maneno ya kuhuzunisha sana.
 
Did i ever mention that i mend broken hearts? Well...now i have, make an appointment.

On a serious note, you'll be alright, if you choose to be.
 
usjal ni mapito rafik yangu, kuna kipindi iliwah nitokea hiyo hali ila ilinigarimu mana nilikosa furaha amani na kuona wadada sio. Ila nashukur mungu nilifanya maamuz magumu ya kutorudi mahali pale japo alitaka nirudi mi nikasimamia ukweli kuwa staki kutumika
 
Its the beauty of life girlie.

Someday you will smile and love again.

But for now, just take it easy.
 
Just hit a snage and keep on believing that you have another chance that is TOMMOROW. Kwa upande wangu i had choosen loneliness as my ways of life.. sitaki hata kuwaona mabinti.
 
Daaah mbona kawaida sana, au ndo mara ya kwanza kupigwa chini?? prado
 
Last edited by a moderator:
pole sana, u have to move on:A S-rose: mambo mazuri yako mbele kwa mbele
 
Pole san hat Mimi yalinikuta kama yako but now nishaanza kusahau najichanganya na watu naangalia muv na kuchza gem

Pia epuka kukaa mwenyew na kusikiliza nyimbo za taratibu kama kuna watoto jaribu kua nao karibu ukicheza nao. Yataisha tuuu
Pole sanaaaaaa akikukataaa jua kakuepusha na mengi

Prado, please take note of this.

Kuna mwimbaji wa zamani jina lake Zuhura Swaleh alishaimba 'mtu akikukataa na wewe wamtakiani'

Nimeitafua hiyo nyimbo kwenye youtube ili nikuwekee lakini sikuipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom