kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,237
- 17,675
ohhhh well, welkam in bachelorhooooooooood, as me just to seek Jesus everyday.. mim nishaasaaaau kupenda.
unajidanganya kaka/dada..
ohhhh well, welkam in bachelorhooooooooood, as me just to seek Jesus everyday.. mim nishaasaaaau kupenda.
I assume and beleave to be true that...Una upeo mzuri and so u date a person mwenye upeo mzuri pia...basing on this assumption nw....naamini lazima kutakua na sababu ya yeye kufanya hivyo....iwe kubwa or ndogo....reasonable or unreasonable....and mind you...KWENYE MAPENZI HAKUNA JAMBO DOGO.....
So..my advice is....find him...tok to him face to face....then find out from him what hapened....kama ulimkosea pasipo kujua...u know wat to do....na kama ana mambo yake tuu....u l know what to do in a better way kuliko kukaa tuu na hujui exactly what is goin on.. (sory for mixing up languages).
sorry where can i find you nikupe zawadi hii commet yako nimeipenda mpaka basi...!!!
ahsante sana berto0406 umeongea bonge la point....!!!!
Let me tel u this,it won't be easy,u will go through hell bt at the end of the day u will get through this....we vumilia tu ndio nature ya maisha wala ucjione victim kivileee
Asante Mkuu nipo hapa Mjini Dsm napambana na maisha....unajua mkuu ni kwambaa....when you love a person...u dont do it for him or for her in a first place but u do it for urself.....so nilichomshauri dada hapo nikwamba afanye kitu kwaajili yake mwenyewe....amtafute..and fight for her lov for the sake of herself....then from there she will know if the man is worth fighting or not...yamkini kuna kitu amekosea au wote wamekosea and ITS ONLY THEMSELVES WHO CAN SETTLE THIS.
Women make a lot of mistake kwa makusudi. I can assure you your sister who is my wife now never knew I didnt hate her until we were 10 years in marriage. She started all those nonsense and now she is just a wife ..my wife that is ... but only that.
Inawezekana wewe ulianza mapema zaidi. Au miaka sita inakarubia 10 niliyokaa na dadako. Pole.
Asante Mkuu nipo hapa Mjini Dsm napambana na maisha....unajua mkuu ni kwambaa....when you love a person...u dont do it for him or for her in a first place but u do it for urself.....so nilichomshauri dada hapo nikwamba afanye kitu kwaajili yake mwenyewe....amtafute..and fight for her lov for the sake of herself....then from there she will know if the man is worth fighting or not...yamkini kuna kitu amekosea au wote wamekosea and ITS ONLY THEMSELVES WHO CAN SETTLE THIS.
Ntakwambia vitu kadhaa broken hearted girl/woman. Wanaume wanaangalia vitu hivi wanapotaka mwenza wa maisha na sio Mpenzi Tu.
1. Ukipenda starehe Sana huolewi hata kama wewe Ni mzuri kama Beyonce.
2. Ukiwa muomba hela Sana tena za hovyo hovyo atakuacha hata kama unampa mpaka nanihii.
3. Ukiwa na style ya wanawake wa haki sawa utaachwa Tu belive me, a man needs a woman to be a woman.
4. Ukishinda kwenye dressing table na makucha kama jini unamuacha yeye anafua mwenyewe utaachwa Tu.
Ndio maana wanaume huwa na vimada warembo na kuoa wanawake wa kawaida coz hao warembo hawana kitu zaidi ya their pretty faces which they think can tie a man to them.
Then theres something he needs that you didn't have. Nakuhakikishia mama, hata kama mngeena another step forward bado ingekuja kuwasumbua mbeleni. Najua inavyouma najua vizuri sana and theres no word that will console you but only yourself and time. Dah unavyosema uko mpaka natamani that guy was me ningekung'ang'ania kweli maana wanawake wengi wa siku hizi wana tabia za vimada vimadaAm so simple yani natosha bila hata ya urembo,kwa muda niliospend nae nimekuwa nikimfanyia vyote hivyo,hajawahi kufua when am around, na kazi nyingine never, kumpenda nlkuwa Siigizi I was so really and I did all for love expecting nothing but to love me back,na bdo nlkuwa namnyenyekea Sana akinikataza kitu hata Kama npo mbali natii,bc tu kaamua