Huyu mdada anaonekana mpole mwenyewe - Mnyenyekev na anaendelea kuumia
Prado ni kidume ucjidanganye
Ntakwambia vitu kadhaa broken hearted girl/woman. Wanaume wanaangalia vitu hivi wanapotaka mwenza wa maisha na sio Mpenzi Tu.
1. Ukipenda starehe Sana huolewi hata kama wewe Ni mzuri kama Beyonce.
2. Ukiwa muomba hela Sana tena za hovyo hovyo atakuacha hata kama unampa mpaka nanihii.
3. Ukiwa na style ya wanawake wa haki sawa utaachwa Tu belive me, a man needs a woman to be a woman.
4. Ukishinda kwenye dressing table na makucha kama jini unamuacha yeye anafua mwenyewe utaachwa Tu.
Ndio maana wanaume huwa na vimada warembo na kuoa wanawake wa kawaida coz hao warembo hawana kitu zaidi ya their pretty faces which they think can tie a man to them.
Moyo unauma Sana Kisa hanitaki tena,sijajua Kama ni hasira au ameamua kabisa....sababu ya msingi siioni,ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa mooooyo wote kbxa,nkampa heshima zote anazostahili MUME, I wish to move on but sina uhakika if I can love again,my heart fails me,what do I do now?!
Mpe 0713 uone atarudi fasta
Kwani umezaa naye Prado? achana naye huna haja ya kuumiza moyo wako kwa sababu utasahau tu.ila kama mna mtoto ndio itakuwa tabu kwani ndie stakukumbushia baba yake