Bro ulokole mwingi mwisho unaharibu sasa

Bro ulokole mwingi mwisho unaharibu sasa

Mathayo : Mlango 19

12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.Yesu Awabariki Watoto Wadogo



1 Kor 7 :23 kuendelea

26 Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo.
27 Je! Umefungwa kwa mke? Usitake kufunguliwa. Umefunguliwa? Usitafute mke.
28 Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali akiolewa, hana hatia; lakini watu kama hao watakuwa na dhiki katika mwili nami nataka kuwazuilia hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike wakati maisha binafsi ya mtu yabaki kuwa yake na Mungu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4] jibu mujarabu. Sijui kwa nini watu huwa hawaridhiki wakiona mtu akiwa tofauti na wao wanavyoishi yaani lazma watafute negative things tu ili mradi wajihisi poa. Ukweli ni kuwa kama wewe umeamua kutenda dhambi zitendeeee tu na uwaache walioamua kuishi maisha yao wayaishi kwa amani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom