Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Babake anajua????
Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu
Najua yuko ban
Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa
Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali Mods Mhurumieni Miss chagga...
Bring back our miss chagga
Mie hata sijui kwanini Honey Faith.. Sema huyu mwanao miss chagga nae ni mwingi.. Labda ameingilia anga za mtu na sasa anataka kum-gwamanya lol..
Ha ha ha ha Dragoon kumbe unajua aliko duuh.. Japo uko loyal kwa kaka yako naomba umnnong'oneze japo sikioni kwamba ninam-miss..
miss chagga Baned
Join Date : 7th June 2013
Posts : 27,138
Rep Power : 0
Likes Received13571
Likes Given23896- Dah! Wagambo (Moderators) hawa angalii makunyanzi.
Alijipendekeza kule siasani wakamminya...kisa alitamka ayaaaatola
Alijipendekeza kule siasani wakamminya...kisa alitamka ayaaaatola
Naona na wewe una hamu na Ban....huyo ni mfalme wa JF mamods wote mfukoni
Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu
Najua yuko ban
Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa
Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali Mods Mhurumieni Miss chagga...
Bring back our miss chagga
Nimeongea na mods wanasema miss chagga atafunguliwa kesho saa nane mchana.
Nna shida na MoDs mkuu nawapataje?
Wana nyodo hao...kila mmoja yupo kwwny kigeto chake na kilaptop, basi wanaona wamemaliza maisha! Otherwise wangekuwa wana customer care nzuri (kujibu requests mbalimbali), ukilalamika tu post inarushwa kwenye "Complaints", ndo bac tena. niche ya IT ni watu wenye viburi sana. na IT yenye copy paste tu hamna lolote