Brexit imegonga Mwamba, kiini macho cha Demokrasia!

Uingereza wameshajitoa EU baada ya ku trigger article 50. Hii inamaana baada ya miaka miwili kama hakuna negotiations yoyote kati ya EU na UK, by design UK inakuwa imetoka kwa style ya hard exit. Yani eu itadeal na UK kama inavyodeal na Tanzania. Yani Ita default kwa deal zote mwanzo zilizokuwapo tu null
Majadiliano wanayotaka ni kuhakikisha hawawi kama 'Tz' wanapewa kipaumbele fulani katika mambo kadhaa

EU ikiongozwa na mama Merkel walijua kuendekeza hilo kila nchi itataka kujitoa halafu itafu
te majadiliano kwa maeneo kadhaa. Wakasema no! ukijitoa unajitoa ili kuzuia wananchama wengine

Kuna hasara kwa pande zote lakini UK itaathirika sana kiuchumi

Barbarosa anaposema 'kwaa kigingi' hana uelewa wa kwanini majadiliano na article 50 inasemaje
 
Swali langu ni kwa nini huyo Mama aliitisha Uchaguzi wkt ambapo majadiliano ya kujitoa EU ndiyo yalikuwa yaanze? Yalipaswa yaanze Juni 19, sasa haiwezekani tena, kwa maana hiyo siku Malkia ataongea na kuanza kuunda Serikali mpya ndiyo maana naamini huyo Mama ni sehemu ya establishment na pro EU, na kitakachotokea ni kwamba wataiahirisha hiyo Brexit na kuisogeza mbele forever!
Alikuwa anataka wabunge wengi zaidi akiamini atashinda, kiufupi alifanya gambling ambayo imebackfire
 
Majadiliano wanayotaka ni kuhakikisha hawawi kama 'Tz' wanapewa kipaumbele fulani katika mambo kadhaa

EU ikiongozwa na mama Merkel walijua kuendekeza hilo kila nchi itataka kujitoa halafu itafu
te majadiliano kwa maeneo kadhaa. Wakasema no! ukijitoa unajitoa ili kuzuia wananchama wengine

Kuna hasara kwa pande zote lakini UK itaathirika sana kiuchumi

Barbarosa anaposema 'kwaa kigingi' hana uelewa wa kwanini majadiliano na article 50 inasemaje
Tatizo kubwa ni kujitoa kwa UK ni a 'step into the unknown' kwa wananchi wengi-hawajui it will work out or it will backfire-hii uncertainity ndio the core ya hizi trends tunazoziona
 
Wananchi wanatishika kila wanaoona suala la Breixt likizungumziwa FTSE 100 inayumba na Pound inapoteza thamani. Londo ni financial Hub ya EU na ni gate ya business kati ya EU na nchi zingine. Mashirika makubwa yameonyesha nia ya kuhamia Frankfurt hilo linatia kiwewe

Euro hainoenakan kuyumba sana kama ilivyotarajiwa. Kiwewe kingine
Negotiation zinaonekana kuwa na vikwazo kinyume na matarajio kuwa UK itapewa fursa za kipekee

Brexit inaamsha dude jingine linaloitwa Scotland ambao hawataki UK ijitoe
Kwa maana nyingine kutakuwa na internal and external strife

Ni uamuzi walioufanyana aliyeongoza Nigel Farrage yupo kando

Makosa ni ya wale waliopuuzia Brexit kwa kupiga kura wakijua haitatoka bila kujua Nigel Farrage alikuwa na wafuasi committed.

Siku zote kura zina madhara sana na si kitu cha kupuuzia. US nao wana dude lao
 
Swali langu ni kwa nini huyo Mama aliitisha Uchaguzi wkt ambapo majadiliano ya kujitoa EU ndiyo yalikuwa yaanze? Yalipaswa yaanze Juni 19, sasa haiwezekani tena, kwa maana hiyo siku Malkia ataongea na kuanza kuunda Serikali mpya ndiyo maana naamini huyo Mama ni sehemu ya establishment na pro EU, na kitakachotokea ni kwamba wataiahirisha hiyo Brexit na kuisogeza mbele forever!
Narudia, May alichanga karata zake vibaya! Huyu mama alikuwa ana uhakika angepata majority na hivyo kumwakikishia nguvu kwenye negotiation table.

Lakini kwa upande mwingine haupo sahihi unaposema May anaungana na chama kisichotaka Brexit. Tofauti kati ya Conservative (or probably May) ni Brexit ya aina gani.

Tukirudi kwenye matokeo ya uchaguzi, kilichopo sio kwamba eti Brexit ndo basi tena; no!!! Lakini kwavile hana majority hivi sasa hatakuwa na nguvu kubwa kwenye negotiation table. Kwanza huenda akalazimika kukubaliana na mshirika wake serikalini... it's all about quid pro quo!

DUP hawatakubali kuungana kirahisi rahisi tu na Conservative bila kuhakikishiwa after Brexit, wao kama Ireland watanufaika vipi.

Kwa mfano, after negotiation wanaweza kukubaliana kwamba out of 100% business market kati ya EU and Africa, 20% itakuwa allocated kwa UK iliyo-exit.

Lakini kabla ya kwenda huko unaweza kuta DUP walisha-demand in advance kwamba business share itakayokuwa allocated to UK, basi 25% iwe for Ireland. Na May kufanikisha lengo la Brexit hatakuwa na namna bali kukubaliana na DUP... Nipe Nikupe!!!

Lakini kama angekuwa na majority ambayo aliitarajia, hayo hapo juu yasingetokea!!!!!

Kwahiyo wakati suala la Brexit lipo pale pale, setback inaweza kuwa delays kwa sababu ni lazima kwanza aweke mambo sawa ndani kabla ya kuingia kwenye meza ya majadiliano ya EU!!!
 
Barbarosa, njoo ujibu hoja zote za Mkuu Nguruvi3 usijifanye huuoni huu uzi wakati ni wa kwako mwenyewe.
 
Katika maelezo yako ili usichanganye wasomaji inabidi uainishe vizuri, mkuu wangu.

Kwamba kuna:
Republic of Ireland- Dublin, hii si part ya UK inajitegemea na iko EU.
Northen Ireland-Belfast, hii ni part ya UK na ndiyo unayoongelea.

Na unaposema UK ama GB maana yake ni Northen Ireland+Wales+England+Scotland. Maana kuna baadhi wanaweza fikiri England ndo UK. Samahani kwa kuongezea some bits.
 
Nimekupata vizuri kiongozi...Na According to BBC hiyo jana....mchakato wakujitoa unaanza rasmi 19/06/2017 na unatarajiwa kuisha 19/06/2019
Ingawa kuna wanaona kwamba inaweza ikachukua muda mrefu..
Mfano mfanyabiashara mashuhuri Mmarekani Soros kadai Process ya kujitoa itachukua si chini ya miaka Mitano.
Kujitoa kuko palepale tu

Hauwezi kuanza hiyo tarehe kwa maana siku hiyo Juni 19 Malkia wa Uingereza ambaye ndiye Mkuu wa Nchi ya Uingereza na Makoloni yake atakuwa anaongea na baada ya hapo wataanza kuunda Serikali hivyo tarehe 19/06 haiwezekani kuanza mchakato wa kujitoa, na huyo Mama alilijua hili lkn bado aliamua kuitisha Uchaguzi, hivyo watapeleka mbele na hii iteaendelea hivyo forever!
 
Mkuu hebu yaelewe haya mambo. Kama unakumbuka Lisbon treaty inataka nchi inayojitoa ku trigger article 50.

Hiyo maana yake ni kueleza nia ya kujitoa na PM May alisha trigger hiy March 29 2017.

Majadiliano hayahusu kujitoa, bali namna gani UK itaondoka katika EU.

Elewa hapo si kujitoa kwani tayari imesha trigger article 50, bali kuangalia vitu kama gharama , michango na madeni n.k. ili kuwe na smooth tranistion.

Kumbuka UK ni mwanachama mwenye nguvu sana na hilo walijua.
Haiwezi kuamka asubuhi na kusema tumejitoa.

Athari zake kwa uchumi na usalama wa dunia ni kubwa sana na ndio msingi wa kuwa na Lisbon treaty

Brexit haina uhusiano wa moja kwa moja na uchaguzi.
Uhusiano uliopo ni PM May alitaka mandate ya wananchi ya kuongoza nchi si aliyopewa na conservative.

Hapa kuna uhalali wa kisiasa katika kusimamia mambo ya nchi.

Hilo alifanya akijua conservative ni 'popular' na angepata wabunge wengi 'majoirty'.
Tofauti ikawa Hung parliament yaani serikali ya minority

Kwanini amepoteza majority? Kuna mengi .
Suala la ugaidi na yeye alikuwa waziri wa mambo ya ndani limechangia kuonyesha hana mbinu mpya

Pili kuna suala la Brexit linalowagusa watu kwa namna tofauti.
Scotland haitaki kujitoa EU, wakati wanachama wengine wa UK wakiwa wamegawanyika.

Tatu, uhusiano wa May na Trump ambao unaonekana kuwa wa 'karibu' umemgharimu hasa pale Trump alipomshambulia Mayor wa London baada ya shambulio la ugaidi.

Nne, wengi hawaoni kama PM May anaweza kuongoza UK kupata deal nzuri na EU

Haikutisha uchaguzi kwasababu ya Brexit tu kama unavyodhani. Ni zaidi ya hapo ndugu yangu

Huyo Mama ni pro remain kawazuga tu Waingereza, sasa kwa taarifa yako huu uchaguzi ulihusu Brexit na maana yake ni kwamba majority ya Waingereza sasa ni against Brexit hiyo ndiyo maana yake, kitakachofuatia utaona jinsi watakavyocheza, timing ya huu Uchaguzi peke yake inasema kila kitu kuanzia terror attacks, Manchester, kuja juzi kati London na sasa uchaguzi hii yote imepangwa na sasa matokeo ya Uchaguzi yanaonyesha sehemu kubwa ya Waingereza hawataki Brexit, timing is everything, huyo Mama kawauza!

Usisahau kwamba sehemu kubwa ya vijana wamepiga kura na ndiyo walioamua matokeo ya uchaguzi na kwamba Vijana ni Pro EU kwa tafsiri ya matokeo Uchaguzi!
Wazungu ni full usanii ni kwamba hatuwajui tu!
 
Hauwezi kuanza hiyo tarehe kwa maana siku hiyo Juni 19 Malkia wa Uingereza ambaye ndiye Mkuu wa Nchi ya Uingereza na Makoloni yake atakuwa anaongea na baada ya hapo wataanza kuunda Serikali hivyo tarehe 19/06 haiwezekani kuanza mchakato wa kujitoa, na huyo Mama alilijua hili lkn bado aliamua kuitisha Uchaguzi, hivyo watapeleka mbele na hii iteaendelea hivyo forever!

Mkuu
Uingereza walishajitoa siku ile walipo trigger article 50.
Hivyo baada ya miaka 2 baada ya ku trigger article 50 uanachama wao ndani ya EU unakoma automatically. Hayo majadiliano ni jinsi tu ya ku deal na common interests kama vile wananchi wa EU walioko UK itakuwa je na kinyume chake vilevile. Na kwa mfano watavyotozana ushuru ktk soko la pamoja la EU. Hivyo wajadiliane ama wasijadiliane baada ya miaka miwili UK anakuwa nje ya EU kwa style ya hard exit.

Brexit begins: The UK now has two years to untangle itself from the European Union

Labda kuwe na kipengele cha hivi na wakifanye. Lakini kwasahivi UK ni miaka miwili inakuwa nje ya EU

The UK government is in no condition to start Brexit negotiations ... so can Article 50 be paused or reversed?
Can Brexit be reversed?
 
Mkuu
Uingereza walishajitoa siku ile walipo trigger article 50.
Hivyo baada ya miaka 2 baada ya ku trigger article 50 uanachama wao ndani ya EU unakoma automatically. Hayo majadiliano ni jinsi tu ya ku deal na common interests kama vile wananchi wa EU walioko UK itakuwa je na kinyume chake vilevile. Na kwa mfano watavyotozana ushuru ktk soko la pamoja la EU. Hivyo wajadiliane ama wasijadiliane baada ya miaka miwili UK anakuwa nje ya EU kwa style ya hard exit.

Hiyo article 50 inazingua kwenye mengi sana na haiko clear sana, subiri utaona watakavyocheza huu mchezo, hayo majadiliano yataendelea mpaka 2020 na hakuna Brexit, hii kura imeonyesha kwamba Vijana wengi ambao ndiyo future ya Uingereza wako pro EU, ndiyo maana nauliza timing ya huyu kuitisha Uchaguzi sasa hvi!!
 
Ndiyo, majadiliano yanaweza enda hata miaka 100. Ila kwa vile UK wali trigger article 50, basi baada ya miaka 2 automatically watakuwa nje ya EU hata kama wakiwa wanaendelea kujadiliana. Wataendelea kujadiliana UK ikiwa nje ya EU kama ilivyo US, Australia nk. Maana kuna softa exit na hard exit.
 
H

Hakuna Brexit, utaleta articles zote unazotaka lkn mwisho wa siku Uingereza haiondoki EU, kitakachotokea ni kusogeza mbele na kuarisha mazungumzo kwa muda usiojulikana, kwa mfano tarehe 19/6 ilipaswa mazungumzo ya Brexit yaanze lkn sasa haitawezekana kwa sababu Malkia ataongea hiyo siku na pilika pilika za kuunda Serikali mpya zitaanza, hivyo hiyo tarehe imesogezwa mbele na watafanya hivyo kwa miaka 5-10 ijayo!

Kwa nini waliitisha kura ya maoni kama walijua ni ngumu kutekeleza? Kura ya maoni ni hatua ya mwisho na kidemokrasia maana yake baada ya matokeo hakuna mjadala tena isipokuwa kutekeleza tu!
Wewe ni MAKINIKIA ya mchanga hivi vitu huviwezi
 
Hapa ndipo nakuambia kuwa huna ufahamu ingawa unajitutumua.

Kwanza, the establishment unaosema (na sijui kama unajua maana yake) ndio wanaosema hawataki sheria kutoa Brussels.

Pili, Cameron alipoingia madarakanai aliahidi kushughulikia vitu vitatu.
Kwanza kura ya maoni ya Scotland ambayo alisimama kama PM kulinda union jack.
Huyu ni PM kutoka Tory au conservatives

Pili, atashughulikia referendum ya EU. Akiwa PM alisimama na serikali kutaka UK isijitoe

Tatu,akasema atashughulikia 'wanachama' wengine wa UK, (England, Wales na Ireland) kupewa mamlaka kama ilivyo kwa Scotland ili kupunguza malalamiko ndani ya UK.

Scotland haikujitoa hivyo akawa na mandate ya kushughulikia mengine kama Brexit

Kura ya Brexit ikaamua wajitoe, yeye akiwa PM aliona hawezi kusimamia mchakato aliyoupinga wa kujitoa EU. Hakuwa na namna bali kujiuzulu

Conservative wakamchagua PM May kuziba nafasi kwa utaratibu wao.
Barbarosa ulihoji demokrasia ya chama kutoa PM na si wananchi. Tulikueleza utaratibu wao ulivyo

PM May akajikuta analazimika ku trigger article 50 of Lisbon Treaty inayoeleza mwanachama anavyojitoa. Treaty inaeleza muda ambao kwa kalenda ni takribani miaka 2

PM may alikuwa na majority katika house. Alichokifanya ni timing akijua uchaguzi ukifanyika atapata majority na kupata mandate ya kuongoza mchakato wa kujitoa kutoka kwa wananchi na si chama chake. Matokeo amepoteza majority na sasa anaunda serikali ya minority

Kwanini amepoteza?Waingereza wengi hawakuchukulia Brexit serious hivyo kutopiga kura.

Matokeo yalipotoka ikabidi yaheshimiwe. Nchi za EU zikaweka msimamo kuwa nchi inayojitoa haitaruhusiwa kuwa na mahusiano mengine tofauti ili kuzuia nchi nyingine kuendelea kujitoa

Kiuchumi hilo linaathiri sana UK kwavile inafungamana na nchi za EU kiuchumi.

Wananchi wameanza kuona matatizo mbele ya safari. Uchaguzi wa juzi waliokuwa wanadharau walipiga kura kama ishara ya kumwambia PM May kuhusu suala la kujitoa

Pamoja na hayo mchakatato utakuwa complicated lakini utaendelea.
Kama kutakuwa na mbadiliko ni jambo ambalo halijulikani hadi sasa

Barbarosa anaposema kwanini hawakujitao siku moja, hajui maana ya article 50, alipaswa kulijua

Kura ya Brexit haikuwa na chama ndiyo maana wapo labour waliokataa wapo Tory waliounga mkono n.k. Hilo ndilo tunasema non partisan kwa maana kuwa mtu hafungwi na msimamo wa chama

Hayo niliyokueleza hapo ni kwa uchache sana, kama kitone tu.
Siasa za magharibi zimekomaa si za kueleza bila kuwa na ufaahamu kama zetu za Lumumba
Kabisa mkuu.
 
Lkn kinyume chake kimetokea maelite walikuwa hawataki Uingereza iondoke EU na sasa wamefanikiwa...
Sasa najiuliza ile kura ya maoni ilikuwa ya kazi gani kama walijua hawawezi kutekeleza matokeo yake?
Ile kura ya Referendum mkuu waliopiga wengi walikuwa watu wazima, wenye uwezo wao, mainly Conservatives, waliotishwa na maswala ya uhamiaji, upatikanaji wa kazi na maslahi ya kampuni zao UK.
Kibao kimebadilika sasa maana vijana, hasa walio chuo kuona wazazi wamewaingiza choo cha kike, wamestuka na kupiga kura kwenye vyama mbalimbali hasa Labour Party. Vijana hawataki kujitoa EU, maana hata maslahi yao kwenye vyuo na kazi kwenye EU yataharibika. Hata ile kusafiri tu kama Holiday ni issue kama uko nje ya EU, hasa kwenye maswala ya fedha. Ni demokrasia ya ukweli mkuu, kwenye Ballot box, Theresa May alijuwa atashinda hii (Snap Election), lakini kama ujuavyo, wananchi wakiamuwa wameamuwa, matokeo yake ndio haya ya kuunda serikali ya mseto.
Ila imewafundisha vijana duniani, kwamba wao ambao ni wengi, wawe wanapiga kura, maana wao ndio viongozi wa kesho..
 
Hauwezi kuanza hiyo tarehe kwa maana siku hiyo Juni 19 Malkia wa Uingereza ambaye ndiye Mkuu wa Nchi ya Uingereza na Makoloni yake atakuwa anaongea na baada ya hapo wataanza kuunda Serikali hivyo tarehe 19/06 haiwezekani kuanza mchakato wa kujitoa, na huyo Mama alilijua hili lkn bado aliamua kuitisha Uchaguzi, hivyo watapeleka mbele na hii iteaendelea hivyo forever!
U mtupu sana
 
Huyo Mama ni pro remain kawazuga tu Waingereza, sasa kwa taarifa yako huu uchaguzi ulihusu Brexit na maana yake ni kwamba majority ya Waingereza sasa ni against Brexit hiyo ndiyo maana yake, kitakachofuatia utaona jinsi watakavyocheza, timing ya huu Uchaguzi peke yake inasema kila kitu kuanzia terror attacks, Manchester, kuja juzi kati London na sasa uchaguzi hii yote imepangwa na sasa matokeo ya Uchaguzi yanaonyesha sehemu kubwa ya Waingereza hawataki Brexit, timing is everything, huyo Mama kawauza!

Usisahau kwamba sehemu kubwa ya vijana wamepiga kura na ndiyo walioamua matokeo ya uchaguzi na kwamba Vijana ni Pro EU kwa tafsiri ya matokeo Uchaguzi!
Wazungu ni full usanii ni kwamba hatuwajui tu!
Wewe lumumba mtoto wa majalalani huwezi jadili mambo mazito hivi nenda kacheze mdako
 
Back
Top Bottom