Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

Wa jep wanatisha kwa majina, utadhani wanachagua matusi tu, sikia hawa, NITASHIKA YAKONYUMA, NIKITIWA NAHARA
 
Kwenye world cup kulikuwa na yule mchezaji machachari, NAKAMUA INAMOTO
 
Mbona hamshangai humuhumu JF kuna majina KWAMTORO
 
Nimefungua faster kumbe dahh umenifurahisha kimtindo
 
Back
Top Bottom