Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

Hapa nimepata listi ya watukanaji bora wa mwaka, hawa wote wanaishi uswazi bila shaka, ndo maana wanjua kuporomosha m.i.t.u.s.i
 
apo kwenye majina ndo kila mwenye hamu ya kutukana anatukana anajifanya jina,duh!wadau noma
 
Haa haaa ongezea UZINI, KACHONGWA, MDUDU MDOGO, MAKUNDUCHI, kuna hadi LEGEZA MWENDO. Sasa haya huyaoni unaona ya Wajapan ee, kweli nyani haoni..............

Wapiiiiiii Barubaru?
 
Back
Top Bottom