Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

Sikudhani mkegani
tembo kiboko
sungura manyani
ukiwaona wa mzuzuri
mizengo pinda
 
Kweli mwalimu mmoja wa alikuja kutufundisha pale Mkwawa enzi zile za high school, wakati wa kujitambulisha akasema eti anatokea Kumamoto!!
 
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

TANZANIA HAS REJECTED THE NEWLY APPOINTED JAPANESE AMBASSADOR

KANYAMAVI KAYASHIKA AND HIS WIFE TAKAUCHI KUMAMOTO

DUE TO THEIR NAMES.

Kwa sababu ni wajapani au?, Mbona hatukwaziki na majina ya baadhi ya sehemu maarufu kule visiwa vya Pemba na unguja kama kitongoji maarufu cha mchambawima, kilima maarufu cha kilamanyege na kituo ch a daladala cha kwa mla ndogo? Tena utasikia jibabu kabisa linamwamuru konda eti kwa mla ndogo shushaaaaa!!!!!!​


kwani mla ndogo lazima imaanishe hivyo?​
 
Sasa lile kombe la dunia lilifanyika japan na korea . tmu ya ubelgiji ilipangiwa mji wa KUMAMOTO. na kuna mchezaji wa Ubelgiji anaitwa MBO MPENZA

Sasa kuna gazeti la bongo kwenye michezo lienda kwa kichwa cha habari


sawa kabisa, lilikuwa gazeti la 'spoti starehe'
 
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

tanzania has rejected the newly appointed japanese ambassador​

kanyamavi kayashika and his wife takauchi kumamoto

due to their names.​


---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

source: bbc - homepage

and their daughter inauma takauchi kanyamavi kayashika
 
UTAJUA TU AKILI ZA WATANZANIA; WENGI MIOYO YAO IMEJAA UZINZI NA UASHERATI na ukitaka weka thread ya MATUSI HUMU UTAONA WATU WAKIMIMINIKA na REFERENCE KIBAO. Kosea uulize Adolph Hitler alikuwa nani utasikia majibu ya kuchekesha, mara utaambiwa alikuwa papa wa kwanza au utaambiwa alikuwa rais wa Marekani n.k na wengine watakwaambia huyu adolph Hitler na Hitler ni ndugu?. kipindi hiki cha PASAKA ni cha TOBA hebu angalau hizi siku tatu to purify mawazo yetu for Christ Sake!!!
 
heeeeeeeeee......................damn funny.
You made my day.
 
Lol hata kama ingekuwa kweli nani anauwezo wa kukataa mabalozi sababu ya majina JK ndio angewakumbatia
 
Back
Top Bottom