Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

TANZANIA HAS REJECTED THE NEWLY APPOINTED JAPANESE AMBASSADOR

KANYAMAVI KAYASHIKA AND HIS WIFE TAKAUCHI KUMAMOTO

DUE TO THEIR NAMES.

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

SOURCE: BBC - Homepage
 
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

TANZANIA HAS REJECTED THE NEWLY APPOINTED JAPANESE AMBASSADOR

KANYAMAVI KAYASHIKA AND HIS WIFE TAKAUCHI KUMAMOTO

DUE TO THEIR NAMES.

Kwa sababu ni wajapani au?, Mbona hatukwaziki na majina ya baadhi ya sehemu maarufu kule visiwa vya Pemba na unguja kama kitongoji maarufu cha mchambawima, kilima maarufu cha kilamanyege na kituo ch a daladala cha kwa mla ndogo? Tena utasikia jibabu kabisa linamwamuru konda eti kwa mla ndogo shushaaaaa!!!!!!​
 
Ukienda Congo na useme MASOKO.............
 
Umenivunja sana mbavu ndugu kwa hayo majina...!​
 
Pia kuna nahara kokoto,sakauchi kaupata,kumamoto inapoa,na maurojo pumbuwazi.
 
Haa haaa ongezea UZINI, KACHONGWA, MDUDU MDOGO, MAKUNDUCHI, kuna hadi LEGEZA MWENDO. Sasa haya huyaoni unaona ya Wajapan ee, kweli nyani haoni..............
 
Bila kusahau mwembemchomeke unguja,na mwembe basha tanga.
 
Nyani haoni kundule!!! Hapo Kenya kuna mji unaitwa KAKUMA, pale Kibosho kuna watu wanaitwa MBORO hayo majina yapo mpaka kwenye vyeti vya ubatizo kanisani na shuleni. Tunao akina Nguruwe, Komba, Mbawala, Mapunda, Tembo nk. Huko Visiwani kama alivyosema mwana JF mmoja ni vurugu tupu, Mchamba wima, Makunduchi nk.
 
Sasa lile kombe la dunia lilifanyika japan na korea . tmu ya ubelgiji ilipangiwa mji wa KUMAMOTO. na kuna mchezaji wa Ubelgiji anaitwa MBO MPENZA

Sasa kuna gazeti la bongo kwenye michezo lienda kwa kichwa cha habari

MBO NDANI YA KUMAMOTO
 
ban ban ban mwaka mzima, haki aitendeki hapa. Someni hikima za suleiman
 
Ha ha ha.....! Its unfair, Sasa si majina tu jamani...
 
Back
Top Bottom