Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 422
aiseeeeee babaangu nipo hapa mkuu rombo ni giza babaangu mbutukunaaaaaa yeiiiiiii!!!!!!!!
Bahari beach giza!ndugu yangu yupo knyama amegraduate leo bcom yupo gizani,cake italiwaje?
Tiririka mwanaJF.NIPO pande za mabibo No Umeme mpaka ubungo
Tiririka mwanaJF.NIPO pande za mabibo No Umeme mpaka ubungo
huku Ubungo upo wa kumwaga, ungekuwa meme unatumwa kama data ningewatumia...
nitahama hii nchi kwa hasira!!!!Umeme umerudi...wkt post yatumwa hata hako ka ubungo kalikuwa is the Darknessed
Nipo visiwa vya Zimbabwe. No umeme
Hata kwetu ilikuwa giza nimetaabika kweli kweli na vifaranga vya kuku vya umri wa siku tatu. uliwaka saa sita fulani hivi.