jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
TANZAGIZA full. Kuna waziri anaitwa MUONGO halafu ana pihechidii, anahusika na mambo ya electricty please mtumieni PM faster. Halafu mjue twiga na giza hili wanashindiliwaje kwenye ndege za uarabuni! Jamani shingo zao...
Mkuu pokea like yangu. nimecheka sana.