Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
Nawasilisha
 
Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
Nawasilisha
Wasichome vya uchochoroni.. Waanze na HQ zao na waishie vilivyo karibu na ikulu
 
Ngoja nimcheki dogo maana yupo pale nijue kama issue hii ipo pale, hii nchi bana...afadhali ya Lowassa.
 
wazo zuri sana wacha wachome cause action speaks louder than words! hapo ndipo serikali kiziwi inakapoona watz wamechoka
 
Wanatakiwa kuanza na vile vilivyopo maeneo ya Posta, Mbezi beach, Kariakoo na Magomeni tuone jeuri yao.......................... alafu waje cha shabiby huku DOdoma
 
Asee wafanye fasta tumechoka saaana na upmbav wao! Na viongozi pamoja na maponjoro ma v8 yao yako road ss walala hoi tunataabika
 
Kila kituo kinachokataa kuuza mafuta kipigwe kiberiti fasta ili wenye v2o na serikali wajue kw wananch 2mechoshwa na upuuz wao. Kwanini wana2tesa namna hii??
 
NA jinsi serikali ambavyo haina think-tank wazuri, utasikia wamepeleka FFU kupambana na wananchi(ningependa hii itokee alafu tuone).
 
Hamjamuona mkuu wa kaya anachekelea huku anakula ftari? as if problem ni kufuturu!!! adha ya mafuta hajui kama ni issue
 
487629-service-station-fire-pic-david-chan.jpg
 
SII mda utasikia wananchi wanapambana na FFU kuzuia vituo vya mafuta kuchomwa moto.
 
Wanatakiwa kuanza na vile vilivyopo maeneo ya Posta, Mbezi beach, Kariakoo na Magomeni tuone jeuri yao.......................... alafu waje cha shabiby huku DOdoma
<br />
<br />
umenikumbusha,kama na shabiby hauz baaaas ina maana na yeye anapinga sera za serikali yake,,,,,
 
Back
Top Bottom