Breaking neeeeewz

Mtoa mada umekurupuka na maoni yaliyotolewa na mbunge mmoja wa viti maalum CDM aliyetaka muhula ubadilishwe ili kuzuia waalimu wa advance wasiondoke kwenda kusahihisha mitihani ya six huku wakiwaacha five bila kusoma.Ulivyoiweka mada umeweka kama ndio msimamo wa serikali na kupotosha wachangiaji wengi
 
Elimu ya Tanzania iliporomishwa mwaka 1967 tulipoamuwa kuwachana na mfumo uliowekwa na Waingereza. Kwa miaka 38 baada ya hapo tukajitahidi kufanya kila njia kuigaragaza elimu kwa wengi na kuwasomesha wachache ambao tulidhani wangeifanya kuwa hii nchi ni pepo ya dunia. Kwa bahati mbaya kabisa hao wachache waliosomeshwaa kwa makusudi kabisa, wakawa ndio kuni za kuiteketeza hii nchi katika kila nyanja, kuanzia elimu, afya, uchumi, utalii mpaka utu na jamii.

Leo miaka 7 ya Kikwete tunaona mabadiliko makubwa sana, tunaona vyuo vikuu vikijengwa kwa idadi ya zaidi ya kimoja kila mwaka toka aingie madarakani, tumeona shule za sekondari zaidi ya 4000 zikijengwa wakati wake, tumeona kuwa kuna baadhi ya shule wameruhusiwa wafate mfumo wa Kiingereza na kwa sasa unatambulika tena rasmi.

Tunaona jitihada na bajeti ya wizara ya elimu ikipanda kila mwaka. Ni mwanzo mzuri baadaa kusambaratishwa na kutuacha kuwa nchi ya mwisho kielimu kulingana na jirani zetu kama Kenya na Uganda.

Tunamtakia kila la kheri Kikwete airudishe mitaala na iwe bora kuliko ilivyokuwa wakati tunapata Uhuru.

Wengi tulioiwahi elimu na mitaala ya mkoloni tunasikitishwa sana tukiona elimu ilipopelekwa pabaya, sijui nani alitudanganya kuwa tunaweza kuleta maendeleao bila kuwekeza kwenye elimu kwa nguvu zaidi? Nakumbuka shule yangu ya awali Kisarawe, tulikuwa na kila cha kujivunia kama shule na nakumbuka shule yangu ya pili H. H. The Agakhan Secondary School ambayo baadae ikaja kuitwa Tambaza Secondary School.

Tulikuwa tuna maabara ambayo hata hospitali nyingi tu nyingine kwa sasa haina. Tulikuwa tuna Art room, ambayo ukiingia unajuwa nipo chumba cha ma artist. Tulikuwa tuna vifaa vya michezo ambavyo hata timu za Taifa kwa sasa hazina, tulikuwa, tulikuwa, tulikuwa, tulikuwa.


Roho inauma sana.
Waambie bana! Tukisema CCM waliotufikisha hapa hawana uwezo wa kutukomboa wanabisha! Dawa ni kumtoa mdudu CCM na kubadili mfumo mzima.
 
kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu
bongo elimu kazi kwelikweli.
 
Source mkuu!

Hata hivyo km ndivyo naona kuna information breakdown hapa....hawajulishani sababu mahususi za kutoka mpango "A " kwenda "B", ndiyo maana akija mtu mwingine anarudi kule kule. Ninachokumbuka sababu za kurudisha nyuma mtihani wa form six kutoka May kuja February....ni kuwezesha watakaohitimu form six wajiunge na vyuo same year.Sasa ikienda may je hili litawezekana? Maana results zitatoka July au August,Vyuo vinafungua September....hapa si tutarudi enzi zile za kusubiri mwaka mmoja na miezi 4?

Nadhani huo mwaka mmoja watausubiria wakiwa JKT (National Service Compulsory Training).

 
duh yamekuwa hayo tena...haya bwana bora wengine tulishamaliza kitambo
 
Mpaka sa tcu hawajatoa results na wa2 walpga paper feb hw pocbo kwa wa2 watakaofanya paper may wapate results thn wajoin colg the same yr?obvsl somethn somwhr must be wrong wt a way our leaders lks at thngs!refear,kuondoa michipio ya kilimo na biashara sec!
 
mimi namaliza form six 1995 mitihani ya kumaliza ilikuwa ikifanyika mwezi mei tar 2 au tatu watoto wa leo mnashangaa eti breaking newz. Kwa taarifa yenu vita vya kagera ndo vilibadirisha tarehe ya mitihani ya form 6 ikawa inafanyika mwezi mei. So since 1979 mpaka mimi namaliza 95 na sijui ni lini walibadirisha ikawa hiyo tarehe mnayoijua nyie
 
mimi naona sawa tu kuliko watu wengi kumaliza kwa wakati mmoja na kukaa mtaani wakigombea tempo sasa watapungua.
Watanzania full kulalamika kwa kila kitu bila hata kuuliza sababu hawaulizi wanakimbilia kulalamika
 
nafikiri ni kutokujitambua kama taifa,hatujiandai ipasavyo si kisera wala kimipango na vipaumbele vinavyoainishwa kwenye maeneo mbalimbali kama vile elimu havieleweki so kilichobaki ndo hivi sasa kujaribu jaribu kama tutafanikiwa

wanataka vijana wapitie JKT kwanza wajue utamu wa kupiga jembe kabla ya kuingia darasan nadhan hii itapunguza wanyoa viduku
 
una kazi maalum jf wewe, jk??

Ukweli ni ukweli hata kama unauma, inabidi tuuseme, ndio faraja tuliokuwepo siku hizo na hatukuweza kuusema. Nyie vijana ambao hamkuwepo siku hizo inabidi muujuwe ukweli kama ulivyo na msikae mnadanganywa na watu ambao hawakuwepo au wana agenda za siri.
 
Co kila sera ni mbovu jamani,hatakama serekal ni dhaifu co tuna dis kila kitu,tungejaribu kuangalia lengo lao ninini?ndo tungejua uzur na ubovu wa hiyo sera,mi naona wanataka mwaka wa masomo uanzie jan kwa vyuo na adv kujoin jan ili kuondoa likizo mbili yani o-level na A-level kitu ambacho c kibaya
 
Hivi sababu kubwa si ilikuwa eti wasichana wakikaa sana kusubiri matokeo watapigwa sana mimba?!! Labda wamefanya utafiti na kukuta hata wasichana wasiposubiri sana bado mimba zipo na ndio zimeongezeka zaidi. Pia yawezekana muda wa serikali kujipanga katika kukabiliana na gharama unakuwa mdogo!!
 
Wewe wa wap? Uliona wap unvasty ya nch gan wanajoin january wewe angaliaga bhana india utachnjwa, china utanyongwa
 
kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu

Source?
 
tz ni full kuyumbishwa 2, c unakumbuka enzi zile za physics with chemistry
Ni kweli, Ilikuwa 1993 wakati wizara ya elimu ilitaka kuwaanda form one wa mwaka ule kwaajili ya new millenium kwa kuyaunganisha masomo ya sayansi (Physics, Chemistry, Biology) kuwa somo moja la unified science na yale ya Geography, Siasa (Civics) na History kuunganishwa na kuwa social studies wakati hata vitabu mfumo mpya walikuwa hawajachapisha.
 
kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu

Ndugu huu utakuwa uchizi
 
Tatizo kila waziri anayeingia anataka aache historia kwamba alifanya hiki but hakutasaidia lolote.
 
Ukweli Elimu yetu inayumbishwa,wizara haina mipango maalumu wala sera za kina, wakiambiwa ukweli wanabakia kubwabwaja tuu,Nape baadala ya kuulizia ripoti za michango ya chadema kaa na chama chako mpange sera za Elimu ya nchi,mnatuchosha tuu...........uwiiiiiiiiiiiiiiii
 
taratibu wanakuja, mwishowe watasema ukimaliza six may, june jkt then chuo mwaka unaofuata kama enzi za mwalimu. HII WIZARA YA ELIMU INAMABADILIKO KILA WAZIRI MPYA ANAPOINGIA.
HII NDO AFRICA, EVERY IMPOSSIBLE IS POSSIBLE IN TANZANIA

unamawazo kama yangu.. JKT yahusika hapo.
 
Back
Top Bottom