Breaking neeeeewz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking neeeeewz

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mfukunyuzi, Aug 14, 2012.

 1. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Dah....mbona wanarudi kule kule tena?
   
 3. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tz ni full kuyumbishwa 2, c unakumbuka enzi zile za physics with chemistry
   
 4. A

  Awadh Mabaraza Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah mi naona wanafanya mkanganyiko wa mambo tu. Hakuna uboreshaji wowote. Wangekuwa watendaji angalau
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ndivyo ilivyookuwa miaka ile mitihani ya cha 6 Mei na cha 4 Oct/November na unasubiri hadi mwaka mwingine July unaingia cha 5 kama umefuzu. Kazi ipo! Siku hizi hata sikumbuki ratiba za mitihani yao tena maana kila siku mabadiliko.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi kwa nini elimu yetu inayumbishwa namna hii? Kwa nini kusiwe na a sort of national conference kujadili masuala haya yanayohusu elimu kuliko watu wachache kufanya maamuzi ambayo yanaathiri nchi nzima? Nilidhani haya mambo yalishaondoka na Mungai!
   
 7. phina

  phina JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ivi walifanya hivo eh??me nkajua ilikuwa maneno tu..duh!
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kila waziri wa elimu anakuja na lake mara mtihani wa form 2 upo,mara unafutwa just bla blaah
   
 9. Timoso

  Timoso Senior Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata wakibadili kalenda ya mitihani kila mwaka kama hakuna mipango ya kueleweka n kaz bure.
   
 10. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tatizo nchi hii elimu si kipaumbele....thats why things are always changing...Tanzania have hopeless leaders
   
 11. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Source mkuu!

  Hata hivyo km ndivyo naona kuna information breakdown hapa....hawajulishani sababu mahususi za kutoka mpango "A " kwenda "B", ndiyo maana akija mtu mwingine anarudi kule kule. Ninachokumbuka sababu za kurudisha nyuma mtihani wa form six kutoka May kuja February....ni kuwezesha watakaohitimu form six wajiunge na vyuo same year.Sasa ikienda may je hili litawezekana? Maana results zitatoka July au August,Vyuo vinafungua September....hapa si tutarudi enzi zile za kusubiri mwaka mmoja na miezi 4?
   
 12. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapa wamenikumbusha Yule waziri wa zamani wa wizara husika (Elimu), Joseph Mungai kufuta michezo katika shule zote za msingi na sekondari kwa wakti huo.
   
 13. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kwa kweli me napata wasiwasi na watendaji wa hii serikali kila kukicha wao wanafanya blaa, sasa hv wanavyopitisha hoja hapo ni kusema ndiyooo afu ukiwauliza walichopitisha hata hawajui hawa ndo chanzo cha huu mkanganyiko
   
 14. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenyewe wanadai kuwa wameshaongea na tcu wanasema inawezekana
   
 15. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kudadeki !! Poor tanzania
   
 16. only83

  only83 JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nchi hii tunaendeshwa kama maboga. Yani mtu akiongea mke wake nyumbani anakuja kufanya mabadiliko yanayowaathiri watanzania milioni 45+.
   
 17. A

  Albizo Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Hi ndio Tz.Mwaka 2005 wakafuta masomo ya biashara (book-keeping na comerce) yakarudishwa tena 2006.
   
 18. THE GREAT CAMP

  THE GREAT CAMP JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 767
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mavi ya kale hayanuki
   
 19. M

  MWAKIKALI Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  taratibu wanakuja, mwishowe watasema ukimaliza six may, june jkt then chuo mwaka unaofuata kama enzi za mwalimu. HII WIZARA YA ELIMU INAMABADILIKO KILA WAZIRI MPYA ANAPOINGIA.
  HII NDO AFRICA, EVERY IMPOSSIBLE IS POSSIBLE IN TANZANIA
   
 20. K

  Konya JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nafikiri ni kutokujitambua kama taifa,hatujiandai ipasavyo si kisera wala kimipango na vipaumbele vinavyoainishwa kwenye maeneo mbalimbali kama vile elimu havieleweki so kilichobaki ndo hivi sasa kujaribu jaribu kama tutafanikiwa
   
Loading...