Break up

how can it be impliedly? u r talking about serious relationship here... lets say the guy proposed but they are not engaged because the girl thinks it too early to talk about marriage or may be she dont have the feeling...

One more thing the guy is really a good guy...

Unafiki Mtupu! Good guy halafu unataka kubreak up naye!? Sasa unamtaka bad Guy!? Akajisemea Wacha1 hapa JF sasa kuna unafiki wa hali juu. JF imeenda kwa mbwa...JF is in the DOG HOUSE. Wanafiki wanazidi kuongezeka kila kukicha :(
 
Financially you are right........ lakini when it come to reality..........bora ukaachana naye maana utawaza mabaya kila siku..........yaani kama ingekuwa kila wazo moja linatoa 1mm ya damu toka mwilini mwako............basi baada ya muda fulani utaishiwa damu. THE WAY I SEE KWENYE MAPENZI NI KWAMBA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA PSYCOLOGICAL TORTURE
UNAJUA MIMI nipo consciouss na time!kuisense hiyo saikolojiko torture na impacts zake after ten good years is very impractical!...TEN YEARS?HAPANA BANA
 
Mbu i remember it took almost half a year for someone to empty my account-

...wakati ana withdraw account si uliziona symptoms mydear?
Kosa la wengi, hu ignore mpaka siku anashtukia 'kheee, kweupe?!' kisha tunajilaumu for the rest of our lives.

...katika mapenzi, wengine wanatabia (ya ku play victim) ili wewe ndio uwe wa kwanza kutamka 'tuachane!,' hata kama yeye ndiye aliyefanya visa, vituko mikasa yote kukupeleka kwenye hiyo tight corner.

...maumivu niliyoyapata sitakaa niyasahau mpaka mwisho wa maisha yangu!!

So I better be told the truth.

Forgive 'yourself',
Forget the pain.
Remember the Lesson,

...AND, never repeat the mistake!

Kumbuka, machungu yote yalikuwa ndani ya uwezo wako kuyakabili, ndio maana ukayashinda na leo hii umekuwa a better person with better experience.
Usiupe moyo wako nafasi kuwekeza machungu, chuki na majuto.

ishi kwa ajili yako,
raha na furaha zako kwanza.
 
wat about the diamond ring he gave you??

I remeber you said you were married eeh?? samahani kama ntakukwaza N
oow yeah the diamond ring, you are the only one who remember that I am married... I Wasn't talking about me, if you read my first post I was talking about other girl happened to be my best friend.... but everyone kept directing the question to me so I put myself into situation...
 
wat do u mean its not easy?wabongo tunapenda urongo tu evry tome,I real hate it,if mm ningekuwa yy these is wat I would do,ningempigia cm n tupange tukutane somewea eiza for lunch or dina,then looking directrly into his eyes ningemwambia"Am real sorry for wat am donna tell u rit now,but the truth is I cant keep it in my hut anymo,lets end our relationship coz of many reasons ambazo I personaly dont think its a must to say,but ol i can say is its neva gonna work any mo,as i have made my ming,plz as frm today count me out of ur life,wish u ol the best n its was real good anf funny dating u as i have gained alot of experience,"I beleive kama jamaa atakuwa ni muelewa ataniwish the same then tutaondoka kila mmoja na hamsini zake,najua jamaa atajua nazuga tu but as deiz sikisonga he will understand wat I ment.
hehehehehe dont try, its not easy!
 
Unafiki Mtupu! Good guy halafu unataka kubreak up naye!? Sasa unamtaka bad Guy!? Akajisemea Wacha1 hapa JF sasa kuna unafiki wa hali juu. JF imeenda kwa mbwa...JF is in the DOG HOUSE. Wanafiki wanazidi kuongezeka kila kukicha :(

huu unafiki wa hapa am not interested
hebu niambie kule kwa Wacha 1 ni unafiki gani unaouzungumzia.....???
aaah sore ofu topiki ila nikiwaza na hili toka asubuhi......
 
...wakati ana withdraw account si uliziona symptoms mydear?
Kosa la wengi, hu ignore mpaka siku anashtukia 'kheee, kweupe?!' kisha tunajilaumu for the rest of our lives.

...katika mapenzi, wengine wanatabia (ya ku play victim) ili wewe ndio uwe wa kwanza kutamka 'tuachane!,' hata kama yeye ndiye aliyefanya visa, vituko mikasa yote kukupeleka kwenye hiyo tight corner.

Forgive 'yourself',
Forget the pain.
Remember the Lesson,

...AND, never repeat the mistake!

Kumbuka, machungu yote yalikuwa ndani ya uwezo wako kuyakabili, ndio maana ukayashinda na leo hii umekuwa a better pesron with better experience.
Usiupe moyo wako nafasi kuwekeza machungu, chuki na majuto.

ishi kwa ajili yako,
raha na furaha zako kwanza.

thats why I do miss you Mbu!!!! I dont care about malaria....
 
...THE WAY I SEE KWENYE MAPENZI NI KWAMBA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA PSYCOLOGICAL TORTURE

100% truth!

...dont be the victim!, usikubali kuwa 'namba/takwimu'...
the best way to face the 'bullying' relationship is by standing tall and using a strong voice against your 'abuser', awe ni Mume, Mke, Wifi, Mkwe, Shemeji nk...

It is all about Self esteem, self respect!
 
Unafiki Mtupu! Good guy halafu unataka kubreak up naye!? Sasa unamtaka bad Guy!? Akajisemea Wacha1 hapa JF sasa kuna unafiki wa hali juu. JF imeenda kwa mbwa...JF is in the DOG HOUSE. Wanafiki wanazidi kuongezeka kila kukicha :(
mmh language problem... d o u mind watching ur language pls... u dont have to reply if you didnt like the post... just because the guy is good doesnt mean that you should love him,,,
 
mmh language problem... d o u mind watching ur language pls... u dont have to reply if you didnt like the post... just because the guy is good doesnt mean that you should love him,,,

...:D nice one!
 
wat do u mean its not easy?wabongo tunapenda urongo tu evry tome,I real hate it,if mm ningekuwa yy these is wat I would do,ningempigia cm n tupange tukutane somewea eiza for lunch or dina,then looking directrly into his eyes ningemwambia"Am real sorry for wat am donna tell u rit now,but the truth is I cant keep it in my hut anymo,lets end our relationship coz of many reasons ambazo I personaly dont think its a must to say,but ol i can say is its neva gonna work any mo,as i have made my ming,plz as frm today count me out of ur life,wish u ol the best n its was real good anf funny dating u as i have gained alot of experience,"I beleive kama jamaa atakuwa ni muelewa ataniwish the same then tutaondoka kila mmoja na hamsini zake,najua jamaa atajua nazuga tu but as deiz sikisonga he will understand wat I ment.
hapo ni baada ya lunch au kabla?
Halafu una-clear bill kwa Tembo card, unaingia kwenye Vitz yako, unachapa lapa
Au unanipigia simu, nakuja kuku-pick na bajaji yangu, tunachapa lapa!!
 
lazima tule ili tupate nguvu kabisa,then napanda daladala bana nikikusubiri c utachelewa?
hapo ni baada ya lunch au kabla?
Halafu una-clear bill kwa Tembo card, unaingia kwenye Vitz yako, unachapa lapa
Au unanipigia simu, nakuja kuku-pick na bajaji yangu, tunachapa lapa!!
 
mmh language problem... d o u mind watching ur language pls... u dont have to reply if you didnt like the post... just because the guy is good doesnt mean that you should love him,,,
Sasa mama asiye na jina, ushajua kuna langueji problem sasa mbona unaendelea kumjibu kwa kiblurey? Tumia lugha ya BAKITA labda mtaenda sawa. Wengine tumesoma shule za kata. Mwalimu mmoja fomu wani mpaka fom sirii. Fom foo walimu wawili kwa kuwa wanajiandaa na neshno fom foo B examinations.

Please tuelewe utusaidie kwa kutumia lugha ya Ujamaa na Kujitegemea.
 
Ukitaka ku break up na mtu wewe punguza tu interest i.e. punguza mawasiliano naye, punguza muda wa ku spend naye n.k....kama ni mtu wa kuelewa ataupata ujumbe mapema. Lakini kama ni mmoja wa wale ving'ang'anizi wasioelewa haraka itabidi tu umwambie "sikutaki"....akiumia shauri yake...
 
lazima tule ili tupate nguvu kabisa,then napanda daladala bana nikikusubiri c utachelewa?

mi sitachelewa bana....especially nikiwa najua mi ndo ze most probable replacement kulingana na vigezo vyako.
 
Kumbuka kuwa MALERIA HAIKUBALIKI hata na huyo Mbu mwenyewe

...am the natural host bana, nahifadhi 'Eukaryotic Protist' (Plasmodium pss)...
Malaria itanipataje? :D

Tukirudi kwenye mada, kuacha na kuachwa...
LIPI NAFUU?

Similar Discussions

Back
Top Bottom