Break up

iti izi vere ize fo mii....

Kweli kabisa mpwa yaani ize sana hasa pale mtu mnapotofautiana halafu hakuna tofauti mbaya kama ya KICHWANI yaani hapo ni ugomvi kila siku kwa sababu your brains are too far apart
 
nampa live kwani siku hizi mambo hararani ukiniletea mambo ya ajabu na mie miwonders kama kawaida kuone hana haya umasikini
Conquest
 
Chana tu hawa watu kwanza wataalamu siku hizi wanasema kuwa relationships are like glass. Sometimes it's better to leave them broken than try to hurt yourself putting it back together. So weka kando songa mbele and dont try remake a broken mirror. It is better to leave it broken than hurt yourself to fix it with the vipande damn!
 
Tell her/him the fact. Unakuwa umejiweka kwenye misingi ya kutorudia matapishi tena.. Lakini usipomwambia, unakuwa umemuweka kiporo, na hujiamini na unachotaka kukifanya.
 
How do you break up with someone? U know may be you just dont have the feeling anymore or u never really love them the way they loved u... or whatever reason it is but u wanna break up...

How to do it?

The same way you used to get together - be true to yourself. Lkn, with maturity wanasema love may change in a relationship or marriage, but their better be something else to take its place. If you were in a relationship ina maana u loved or liked something in this person.

Well break up its quite easier when its infidelity, disrespect, physical and psychological abuse, exploitation etc. Remember the song ...love can build a bridge (there must have been something worth loving to keep the fire burning)
 
Ukiachwa you have to get over it.....maana ukiona mlango unafungwa basi jua kuna mwingine utafunguliwa pengine bora hata kule ulikotoka, na ukalaumu lol hv huyu jamaa kwanini hakuniacha zamani. Mapenzi ni ajabu sana, unampenda m2 unaona huyu ndiyo mambo yote, ukiachwa unachanganyikiwa lakini unakutana na mwingine bora kuliko wa mwanzo. UKIACHWA TAKE VACATION SOMEWHERE NICE, OR HAVE PARTY (UENDA KUACHWA KUMEKUEPUSHIA BALAA FULANI)
 
Huyo ana low self esteem na alikuwa anataka kukutisha ili umrudie. I hate desperate chicks like that. That's why I say...women/men are like buses..if you miss one there is another one coming....so keep it moving....
Au mmeo/mkeo mnagombana then anakuambia utanikumbuka weeee ngoja utanona tuu...jamani sasa kama yeye ni mkosaji utakumbuka nini sasa jamani au!
 
Unapokutana nae usijiweke msafi hakikisha unanuka kupu la mwilini kwa hali hiyo ataanza kulala mika na wewe utampa visababu kuwa huna wakati wa kujitengeneza hilo litamfanya atoke kinu mwenye .
 
Tell her/him the fact. Unakuwa umejiweka kwenye misingi ya kutorudia matapishi tena.. Lakini usipomwambia, unakuwa umemuweka kiporo, na hujiamini na unachotaka kukifanya.

Sisi watu toka Iringa hatuambiwi hivyo kwani hatuchelewi kujitungika vitanzi.
 
Au mmeo/mkeo mnagombana then anakuambia utanikumbuka weeee ngoja utanona tuu...jamani sasa kama yeye ni mkosaji utakumbuka nini sasa jamani au!
huku huwa ni kujilinda tu hakunaga cha ziada kwenye hilo
 
Unapokutana nae usijiweke msafi hakikisha unanuka kupu la mwilini kwa hali hiyo ataanza kulala mika na wewe utampa visababu kuwa huna wakati wa kujitengeneza hilo litamfanya atoke kinu mwenye .
Dah! We ni he/she?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom