Break up

Break up

Sasa mama asiye na jina, ushajua kuna langueji problem sasa mbona unaendelea kumjibu kwa kiblurey? Tumia lugha ya BAKITA labda mtaenda sawa. Wengine tumesoma shule za kata. Mwalimu mmoja fomu wani mpaka fom sirii. Fom foo walimu wawili kwa kuwa wanajiandaa na neshno fom foo B examinations.

Please tuelewe utusaidie kwa kutumia lugha ya Ujamaa na Kujitegemea.
Chrispin trouble reading between the lines....r we now?

sawa...nitajidahidi kutumia lugha ya taifa.. bakita ndo nani huyo... mie niliishia fom tuu..nilikuwa napata D kwenye kiswahili..halafu hizi new slangs ndo sizipati kabisa.
 
Ni vyema kama utapanga umweleze kwa ana kwa ana, kwamba wakati umefika wa ninyi wa wawili kutokupendana, kwa kumpa sababu kwa nini mmefikia hapo ili kila mmoja wenu kama kuna kasoro ajue namna ya kudeal na hilo tatizo iwapo ataingia kwenye relationship nyingine asirudie makosa. Usiangalie upande wako kwamba wewe ulikuwa perfect na mwenzako alikuwa na kasoro hata wewe lazima kuna mahali ulikuwa unakosea ndiyo maana mkafikia hapo mlipo. Kama ulikuwa humpendi tangu mwanzo kwa nini ulimpotezea mwenzio muda wake na unajua ni kiasi gani utaumiza feelings za mwenzako.
 
hey Pakawa... asante kwa ur feedback... and I would like to thank every person who contributed in this thread... u are all are amazing ppl...

tukirudi kwako Pakawa It is not me in this case, as I've mentioned previously that it is my BF who is in this situation and I have given her the advice majority of members have suggested,,, so far we have agreed that she is gonna meet with him and tell him the truth... I dont know what is gonna happen...so I will keep you guys updated...
 
...well said bro!

Mapenzi ni emotional account. Njia pekee ya kuifilisi account ni ku withdraw kidogo kidogo mpaka siku unakuta 'there is no sufficient funds in your account!' ...mnabakia marafiki tu, hata kama wakinafiki!

i can tell you... hakuna jukwaa tamu kama la mapenzi, we learn wonderful things everyday na vitu ambavyo tunapractice!!!

I agree with you, dawa ya penzi mchujuko ni ku-drain account hadi ikose mvuto kabisa na hata ATM inareject kutoa
 
I just broke up with someone and the last thing she said to me was "You'll never find anyone like me again!" I'm thinking, "I should hope not! If I don't want you, why would I want someone like you
 
I just broke up with someone and the last thing she said to me was “You’ll never find anyone like me again!” I’m thinking, “I should hope not! If I don’t want you, why would I want someone like you

That's a good one....
 
I just broke up with someone and the last thing she said to me was “You’ll never find anyone like me again!” I’m thinking, “I should hope not! If I don’t want you, why would I want someone like you

hahaaa hiyo unavuta ni sigara kali au???
 
hahaaa hiyo unavuta ni sigara kali au???

Ohoo bht naona uko na mimi leo. Kwanini wauliza hiyo si Sweet Menthol hiyo au? Maanake ni nyingi mno nimewasha siwezi kumbuka sasa!
 
Si ndo hapo, better wank myself than meeting someone with same characteristics as the one I just dumped!

Huyo ana low self esteem na alikuwa anataka kukutisha ili umrudie. I hate desperate chicks like that. That's why I say...women/men are like buses..if you miss one there is another one coming....so keep it moving....
 
Ohoo bht naona uko na mimi leo. Kwanini wauliza hiyo si Sweet Menthol hiyo au? Maanake ni nyingi mno nimewasha siwezi kumbuka sasa!

si unajua najali maslahi ya afya ya ubongo wako???

huyo demu wako na yeye bana

sasa ungetaka kama yeye basi usingem-dump!!!

masiki alichanganyikiwa......
 
How do you break up with someone? U know may be you just dont have the feeling anymore or u never really love them the way they loved u... or whatever reason it is but u wanna break up...

How to do it?

Du...! You are a "Cheater". Ndugu, huwa tunabagain kupatana tu, na sio kuachana. Kwenye mapenzi ukitaka kukatisha usipange kurudi. Sasa unapotaka polite and harmony break-up, unataka kuandaa mazingira ya kurudiana. Ingekuwa mimi boyfriend wako mtarajiwa, basi ndio mwisho wetu. Unatakiwa unyee kambi, ndio utakuwa salama. Nyie ndio wale wanaojivinjari na ma ex- wao.

Hakuna fomula ya kuachana, zaidi ya kuumizana na kunyimana misamaha tu.
 
si unajua najali maslahi ya afya ya ubongo wako???

huyo demu wako na yeye bana

sasa ungetaka kama yeye basi usingem-dump!!!

masiki alichanganyikiwa.
.....

Alitaka kunipa sijui alijua niko empty? Alichanganyikiwa na majambo si unajua vijana tunavojitumaga kama una hasira hadi unasimamia lol
 
Huyo ana low self esteem na alikuwa anataka kukutisha ili umrudie. I hate desperate chicks like that. That's why I say...women/men are like buses..if you miss one there is another one coming....so keep it moving....
wote wako hivyohivyo tu!!! unless awe hakutaki
 
huyo ana low self esteem na alikuwa anataka kukutisha ili umrudie. I hate desperate chicks like that. That's why i say...women/men are like buses..if you miss one there is another one coming....so keep it moving....

weee shem weee .....ingekuwa rahisi hivo afadhali.......
 
kuachwa kuachwaaaaa
kuachwa ni shughuli pevuu
mbaya zaidi......

Malizia bestlady

wewe unakonda yeye ananenepa mawazo mawazo..eeeh
Bht leo naona uko vere happy siri ya mafanikio?
 
I just broke up with someone and the last thing she said to me was “You’ll never find anyone like me again!” I’m thinking, “I should hope not! If I don’t want you, why would I want someone like you
haha u r damn right...
 
Back
Top Bottom