Asante sana Watu8. . .Kwa jinsi ninavyoelewa, siku zote kuna aina tofauti ya mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume.
1.Mahusiano ya kindugu
2.Mahusiano ya kirafiki
3.Mahusiano ya kimapenzi
4.Mahusiano ya kijamii
Sasa mie nitagusa hapo kwenye mahusiano ya KIMAPENZI:
Mahusiano ya kimapenzi nayo huwa yamegawanyika katika namna mbalimbali
1.Kuna mahusiano ambayo hatma yake ni ndoa, haya ni yale ya muda mrefu - Closed relationship
2.Kuna mahusiano ambayo hayana malengo yoyote, mahusiano ya wazi - Open relationship
3.Kuna mahusiano ya kingono tu. - sitaweka neno la kiingeereza kwani hili si jukwaa husika
Sasa basi wakati muhimu ya mahusiano ni mwanzo, hapo ndipo uhusiano uwekwa bayana baina ya wawili...
Break up inayohusu Uhusiano namba 1 bila shaka itakua ni ngumu na itawaumiza wahusika wote
Break up inayohusu uhusiano namba 2 na 3 nadhani haina madhara sana.
Sasa kutoa jibu kwa LIZZY nadhani namna bora ya kubreak up, ni kuzungumza kwa namna ileile ambayo ilitumika katika kuanzisha uhusiano kutegemea na LENGO lile la awali.
Nipo ndio nini lakini kunifanyia hivyoi see... baby upo?
Kwani na jipu? mnao wachwa si nyie mnao vamia wanawake walio waoweni :A S shade:Fazaa vipi tena? Kijipu uchungu bado kinakusumbua?
Canta Canta hebu nichungie SmileHahhah hahha hahha,
Hivo vyote tisa kumi ni ile PUA mie hoi tabani sisikii wala sion!
TFana wake tayari tangu mwaka jana!!!!
Konnie mbona umekuwa mkali?
Kama ilivyo kukutana na kuanza mahusiano, hatua inayoweza kufuata ni kuachana. Tukubali tu na tuwe tayari kupata na kupoteza pale inapobidi.
Kwani na jipu? mnao wachwa si nyie mnao vamia wanawake walio waoweni :A S shade:
nimekufanyieje baby ?Nipo ndio nini lakini kunifanyia hivyo
Swaiba salama lkn?Canta Canta hebu nichungie Smile
usione mahali nimeweka mguu aya mchukue basiHahhah hahha hahha,
Hivo vyote tisa kumi ni ile PUA mie hoi tabani sisikii wala sion!
TFana wake tayari tangu mwaka jana!!!!
Kwani una dondo, si unaona ndo matatizo.Uzuri mie siwezi fuga donda hususan kama donda lenyewe kutwa kucha linanipa homa.
Tutajadili ukipita nyumbani leo nimekuandalia dinnernimekufanyieje baby ?
Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!
Kama ni wewe mwachwaji. .unaprefer kuachwa mara moja (kashajua anakuacha akwambie mara moja) au kuachwa taratibu(anakutafutia pozz la kukuacha hata kwa miezi huku ukijua bado mpo kama kawaida)??! Kwanini?
Jaman smile hebu jiamin japo kidogo basi,hilo pande kanisakizia bishanga ndio nikamwabia TF ana wake!!usione mahali nimeweka mguu aya mchukue basi
Hahahaha!!! Nilikuwa nimeenda na kuwinda kabisaSwaiba salama lkn?
Hane muni mwaka???
Usijali hilo nalimudu sana nitakua namwangalia kwa karibu kbs!
Yule mwingine ulimwachaje?slow slow au ulifunguka live mkamalizana?
Kweli Mende... sema wakati mwingine unaweza kuta huyo unayemwacha nae alikua anasubiria muda tu.
Nikutojitamua tu,na kushindwa kukubali matokeo!!!I wish. . .
CANta. . .
Alikua na kazi kweli. Hao ni sawa na wale wanaotishia kujiua. . .anakushinikiza kubaki.
@Fynest. . . no you don't. Embu nishtue. . .
There is no good way to break up with somebody whether you are nice, mean or nasty in ending it up you're still going to hurt another person feelings and emotionsI wish. . .
CANta. . .
Alikua na kazi kweli. Hao ni sawa na wale wanaotishia kujiua. . .anakushinikiza kubaki.
@Fynest. . . no you don't. Embu nishtue. . .
Duh!umetisha swaiba,Hahahaha!!! Nilikuwa nimeenda na kuwinda kabisa
There is no good way to break up with somebody whether you are nice, mean or nasty in ending it up you're still going to hurt another person feelings and emotions