Break up. . .

Huwezi kumwambia dry kwamba leo ninakuacha.., (inategemea busara zake ila inabidi kumwambia.., )

Option ya kuanza kumfanyia visa ili akuache (hapo unacreate enemy) wakati kama mgekuwa grown-ups na kuonyesha kwamba kwa sasa inabidi ku-part ways.., unaweza ukampoteza mpenzi lakini ukabaki na rafiki.., ukifanya visa hapo unaweza ukatengeneza uadui.

Ni kuwa open (kulingana na busara za mtu), Time heals after some time atakusahau ila utabakia an EX (a friend na sio yule bwana mwenye visa, Shetani)
mazee never tamkia mwanamke sikutaki tena,hatakaa asahau hilo neno hadi kaburini,ujanja ni kumpotezea taratibu without causing much pain,that way siku moja moja mnaweza kuwa mnakumbushiana aisee,kuna ukame ati.
 
niha ni salam ya kichina,umwewahi kusoma kitabu cha sun tzu (the art of war)? ni kitabu kizuri sana naona mdau su kakiweka kwenye avatar yake.
hili la kuachana kwani sisi wanaume tukiwa tunaanzisha mahusiano mapya huwa tunaacha ya zamani,huwa ni slow disengagement.

NIHAO!!!!!"

Khaaaa. . .hua hamuachi?
Kwahiyo unakuja UngaLDT huku Tegeta bado unatengewa sahani?
 
Jamani hakuna mwanaume anaachwa.
As for women huwa nina prefer style ya .....killing me softly.......hii husaidia sana kuzuia wasile sumu,na ninaamini kinamama watakuwa wana prefer huu utaratibu maana na wao unawapa fursa ya kujipanga,au kina mama mnaonaje?
Bishanga hata wanaume wanaachwa sana tu,km ilivo kwa wanawake,

Binafsi naprefer kuambia tu mara moja na kila mtu achukue ustarabu wake,na hii inasaidia mtu kujipanga na kumpa mwingine nafasi kuliko mtu anakaa kimya huku nawakataa wengine kumbe nishaachwa siku nyingi mpaka nikija kujua mda ushaenda

Ila sasa akilogwa akanionyesha dalili kabla hajaniambia na nikatafiti na kuligundua hilo lzm nimuwahi kabla hajanambia na ibaki kuwa mm ndio nilimwacha!
 
Sasa Byshanga what if akufukuzae ana mgeni mwingine mlangoni? Aendelee kukuweka ndani wakati mwenzio anang'aa tu macho barazani?
double timimg normaly kwa mwanamke ni ngumu,kwetu sisi wanaume haina shida,unawapanga tu.
 
yeah,

....yeah, mwombe mketi kujadili jambo muhimu maishani mwenu,kisha kwa wakati muafaka
mwambie A-Z kwanini umeona mahusiano yenu hayatoenda popote na umeamua muachane.
Mbu. . .
Bila kutumia wiki ama miezi kulainishana kama nyama ilotiwa tangawizi?
 
Bishanga hata wanaume wanaachwa sana tu,km ilivo kwa wanawake,

Binafsi naprefer kuambia tu mara moja na kila mtu achukue ustarabu wake,na hii inasaidia mtu kujipanga na kumpa mwingine nafasi kuliko mtu anakaa kimya huku nawakataa wengine kumbe nishaachwa siku nyingi mpaka nikija kujua mda ushaenda

Ila sasa akilogwa akanionyesha dalili kabla hajaniambia na nikatafiti na kuligundua hilo lzm nimuwahi kabla hajanambia na ibaki kuwa mm ndio nilimwacha!
maskini rejao!
 
ndo maana huwa naprefer tuambiane ukweli from the beggining.... Mnapoingia kwenye mahusiano mwanzoni epukeni mapromise yasiyo na maana
Smile
Unajua hakuna mtu anayejua kuhusu Kesho.., Kama nakupenda kwa nguvu zangu zote, and I can do anything for you today sio guarantee kwamba mwaka kesho takuwa na same feelings..

Hivyo basi nadhani muhimu ni ku- Cherish the Moment.., If you are my Angel my Everything.. leo enjoy it, sio kuwaza kwamba kesho utakuwa my Nightmare
 
Last edited by a moderator:
mazee never tamkia mwanamke sikutaki tena,hatakaa asahau hilo neno hadi kaburini,ujanja ni kumpotezea taratibu without causing much pain,that way siku moja moja mnaweza kuwa mnakumbushiana aisee,kuna ukame ati.

Kwahiyo kumbe ni kwa faida binafsi na sio ya huyo mwanamke?Yakinikuta namwambia huyo mhusika atumie muda mfupi ili huo wasiwasi wa kukumbushiana usiwepo!!
double timimg normaly kwa mwanamke ni ngumu,kwetu sisi wanaume haina shida,unawapanga tu.
Hhahahaha. . .kwahiyo unaweza mketisha mmoja barazani ukamwambia namuaga mwenzio humu ndani kumbe ndio kwanzaaaa mnachombezana?
 
Kwahiyo kumbe ni kwa faida binafsi na sio ya huyo mwanamke?Yakinikuta namwambia huyo mhusika atumie muda mfupi ili huo wasiwasi wa kukumbushiana usiwepo!!

Hhahahaha. . .kwahiyo unaweza mketisha mmoja barazani ukamwambia namuaga mwenzio humu ndani kumbe ndio kwanzaaaa mnachombezana?
jamani si ndo utaratibu wa mjini,hata nyie kila kukicha si mnatupanga?
 
Binafsi naprefer kuambia tu mara moja na kila mtu achukue ustarabu wake,na hii inasaidia mtu kujipanga na kumpa mwingine nafasi kuliko mtu anakaa kimya huku nawakataa wengine kumbe nishaachwa siku nyingi mpaka nikija kujua mda ushaenda!

Na hapo ndo panaponitatiza mie Canta.
Yani mwenzio ukute hata kashapata pakwenda baada yako au hata alishahamia ila wewe anakuweka akidhani anakusaidia kumbe anakupotezea muda wako na nafasi kwa watu wengine wanaohitaji/taka kuwa na wewe.
 
mazee never tamkia mwanamke sikutaki tena,hatakaa asahau hilo neno hadi kaburini,ujanja ni kumpotezea taratibu without causing much pain,that way siku moja moja mnaweza kuwa mnakumbushiana aisee,kuna ukame ati.
Again mkuu huwezi kumwambia sikutaki tena, bali sababu kosa ni lako you take all the blame na kuonyesha ukweli kwamba its your fault.., kwamba unaona hamuwezi kuwa wote tena..,

Actions Speaks Louder, sasa ukianza kumkaushia, kuwa mkali au kumkimbia unadhani ndio itapunguza makali (au you mean unafanya ili yeye ndio adhani kwamba anakuacha ?,) mwingine akipenda anavumilia., sasa hapo ndipo utakapoongeza threshold na mwisho wa siku unajikuta unamfanyia visa ambavyo hata adui hawezi kufanya
 
jamani si ndo utaratibu wa mjini,hata nyie kila kukicha si mnatupanga?

Hataaaaaa!!
Wengine hua tunasubiri anaetoka atoke, kudekiwe, vyakufuliwa vifuliwe, vyakuoshwa vioshwe, hewa safi iingine, air freshner ipulizwe alafu ndo mgeni mwingine akaribishwe!!!
 
Kila siku ku break-up,ebu siku moja kuwe na topic ya ku make-up,itasaidia sana watu wengi kutengeneza pale palipoharibika kwenye mahusiano yao!AND mind u hakuna kisicho-expire,BUT Lucky enough mahusiano yana nafasi ya kuboreshwa,JITUME kuboresha ulicho nacho for ur betterment coz hakuna kijitoshelezacho.

GOD BLESS YOU and START NOW
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom