Brazameni akadhani Arusha…….!

Brazameni akadhani Arusha…….!

haya tumesikia ya ****** BAR ni zamu ya kusikia ya MADHARAU BAR wana A city fungukeni!?
 
Duh!Hii kali aisee . . . . . . . !!
 
baada ya kisa mkasa. yule kijana aliyeondoka na biti naye yangemkuta. ingekuwa vema naye akamtoroka huyo binti. sisi wanaume bwna sijui tukoje
 
Atakuwa anafanya rehearsal ya Zinduna Talk Show, si unajua upele umepata mkunaji?

Sasa nimeweza kuanza kuunganisha dots, yaani kumbe ni Zinduna Talk Show ndio ilikufanya uhangaike na kumchimba hivi mshkaji wangu?
Ntaliombea ufafanuzi hili kwa Zinduna, ikibidi wewe ndio ufanyiwe usahili badala ya Erick, usije ukamfanyia makubwa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Kaka Mtambuzi najua stori zako nyingi zinakuhusu wewe in real life..ila usijali ndo maisha..haushukuru Mungu lara 1 alikukimbia saivi uko na Mama Ngina!??
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa!!! Hi ni balaa nusura ya mkosi aisee...vi vumbi linapanda juu ya lami ugomvi balozi hawezi kuamua.
 
kwa hiyo hata barua ya kumdhamini haikuandikwa tena?kweli wa mbili havai moja
 
kwa hiyo hata barua ya kumdhamini haikuandikwa tena?kweli wa mbili havai moja

Hakunitfuta tena na ie sikumtafuta na namba ya simu alibadilisha mpaka leo na ndio maana namtafuta huyu Erickb52 turudishe urafiki wetu...

Naamini amekua siku hizi na amebadilika sana......LOL
 
Last edited by a moderator:
Picnic(Lango la jiji)!! Kamanda umenikumbusha matukio ha ha ha!!
 
Mtambuzi nilikuwa kwenye maombolezo aisee yan hata hayo makitu sikuwa nayakumbuka kabisaaaa!
Sasa kwa habari hii nakumbuka kabisa na mimi ni yule aliyekuwa na huyo binti....na huyo binti nilimvisha pete kweli tena wakati ule nilimpatia pete ya Gold ya Tsh 120000 niliyoinunua Durban ambako ndiko nilikutana na huyo binti kabla hatujarudi Dar!
Mzee Mtambuzi una kummbukumbu sana na umenifanya nimkumbuke sana huyo binti coz hata mimi pia niliachana nae coz wazee walimkataa kuwa anapenda sana pesa na atanisumbua sana!
Ila kwa sasa yuko Nairobi ambako ameolewa na Mzungu mmoja toka South Africa.
Mh yule jamaa nilimtesa sana ila sikujua kama yule binti alikuwa na mtu....alinidanganya yuko single!
Anyway hayo ni mambo ya miaka ya 90 sitaki kuyakumbuka!
Nimejituliza kwa Kasuku wangu (...........)
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 karibu bora umesema kweli maana hapa ilikuwa uumbuke moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 karibu bora umesema kweli maana hapa ilikuwa uumbuke moja kwa moja
Mzee Mtambuzi anakumbuka ila hakujua kama mi ndiye nilikuwa na yule binti.... Mr Rocky nilimpenda sana yule dada ila sema alibadilika akawa pasua kichwa sana aisee na alinifanya nikapoteza mwelekeo kabisa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom