Brazameni akadhani Arusha…….!

Ah sasa wabongo mmezidi jamani hata jina la sehemu mnalibadili kisa linataja maumbile yetu???

Pale ni M.A.T.A.K.O Bar bwana hebu jembe liitwe jembe wajameni....

Afu hii sred imekaa kiugomvi kabisaaa

Natamani niwe @Eirickb52, au sijui ninunue ugomvi?

Mambo gani ya kukumbushana machungu haya we jamaa!

usije ukanunua ugomvi ambao huuwezi mkuu jouneGwalu
Erickb52 yalimkuta haya na aliipta pata huko dar na ndo maana hathubutu kukanyaga huko we mwache aiskumbushiwe machungu yake
 
Last edited by a moderator:
LiverpoolFC kumbe mpo wengi masharo wa arusha mnaofanya vituko eeehh Erickb52 na Arushaone yashawakuta kama haya na wana simulizi nyingi tuu na ndo maana huwezi wasikia wameenda dar sana sana wanaishia mwanza au moro au dodoma

Wewe Mzee nini mbona umeshupalia namna hiyo?? Halafu hii kitu mbona inafanana na ile uliyonisimuli kisa cha wewe kuhamia Arusha??!! Mr Rocky kukasirika mwiko katika hii post pulizi
 
Last edited by a moderator:
Ah sasa wabongo mmezidi jamani hata jina la sehemu mnalibadili kisa linataja maumbile yetu???

Pale ni M.A.T.A.K.O Bar bwana hebu jembe liitwe jembe wajameni....

Afu hii sred imekaa kiugomvi kabisaaa

Natamani niwe @Eirickb52, au sijui ninunue ugomvi?

Mambo gani ya kukumbushana machungu haya we jamaa!

Confirmed muhusika ni jouneGwalu. Mtambuzi upoooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
na msichana mmoja mrembo wa kuvutia hasa na mwenye umbo la kibantu lakini lisilochusha…. Alikuwa amejaaliwa kijikalio cha kiushikaji na nyonga iliyokatika na kutenganisha eneo la juu na la chini kwa uwiano wenye kuvutia, alikuwa na kifua kipana kilichobeba matiti makubwa kiasi. Chini alikuwa amebeba miguu iliyoendana na umbo lake. Kwa kweli alikuwa ni binti mzuri na anayetamanisha hasa.

…..LOL

Hapa ndio ulipoteza u-serious, umetumia nguvu nyingi sana kuelezea kazi ya uumbaji wa mwenyezi, hii imepelekea baadhi yetu kuanza kuamini kuwa kuja kwako kumchamfua Erickb52 hapa kumechangiwa na kusukumwa zaidi na "bora tukose wote"

Na ndio maana umefurahia kuumbuka kwa kijana wa watu na mwisho umemalizia na cheko!
 
Kwani Susy ana sifa hizi? lol

Huyu Babu muhuni, mi ndio maana wababu wa humu nilishawatoa maana nimembakiza Babu Dark City tu, Major General Mstaafu....
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio ulipoteza u-serious, umetumia nguvu nyingi sana kuelezea kazi ya uumbaji wa mwenyezi, hii imepelekea baadhi yetu kuanza kuamini kuwa kuja kwako kumchamfua Erickb52 hapa kumechangiwa na kusukumwa zaidi na "bora tukose wote"

Na ndio maana umefurahia kuumbuka kwa kijana wa watu na mwisho umemalizia na cheko!

girl.jpg

exercise.jpg

girl.jpg

exercise.jpg

Haha ha ha ha ha haaaaaaa mkuu kuna wakati unaweza kuangalia uumbaji wa mwenye enzi Mungu kisha ukaishia kutabasamu............!
 
usije ukanunua ugomvi ambao huuwezi mkuu jouneGwalu
Erickb52 yalimkuta haya na aliipta pata huko dar na ndo maana hathubutu kukanyaga huko we mwache aiskumbushiwe machungu yake

Umehamia lini kwenye kambi ya wazee wewe?

Hivi unamjua Mtambuzi kweli?

We fuatilia hii sred mpaka mwisho utaona atakavyouza utu kwa bei chee, inawzekana kijana wangu alighafirika baada ya kunyang'anywa tonge ila nina uhakika hiyo hujuma aliipanga huyu huyu mleta taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Hah hah hah hah haaa! Udaku tu!

Aisee Filipo.....

Habar ya.... habari yako mzee,
Hivii kwan-ni siku zile ulivyoondoka ndio vipi hukunia... hukuniaga mzee wanguu.... Mimi nipo bana , najarbu jarbu misheni town na kupiga longo.. lo, longo longo hapa JF mzee wangu...................
 
Last edited by a moderator:
Umehamia lini kwenye kambi ya wazee wewe?

Hivi unamjua Mtambuzi kweli?

We fuatilia hii sred mpaka mwisho utaona atakavyouza utu kwa bei chee, inawzekana kijana wangu alighafirika baada ya kunyang'anywa tonge ila nina uhakika hiyo hujuma aliipanga huyu huyu mleta taarifa.

Hapa nahisi kuna nguvu ya ziada inakuongoza kwa kweli mmmh
 
Wewe Mzee nini mbona umeshupalia namna hiyo?? Halafu hii kitu mbona inafanana na ile uliyonisimuli kisa cha wewe kuhamia Arusha??!! Mr Rocky kukasirika mwiko katika hii post pulizi

Dena Amsi ile si ilikuwa siri yako na nilikuambia wewe tuu mbona unaileta chit chat sasa mpaka akina jouneGwalu na Mtambuzi na Filipo na CHARMimglady na sweetlady na FirstLady1 na Erickb52 na Arushaone wapate la kuongea aise

Umehamia lini kwenye kambi ya wazee wewe?

Hivi unamjua Mtambuzi kweli?

We fuatilia hii sred mpaka mwisho utaona atakavyouza utu kwa bei chee, inawzekana kijana wangu alighafirika baada ya kunyang'anywa tonge ila nina uhakika hiyo hujuma aliipanga huyu huyu mleta taarifa.
jouneGwalu huku ni nyumbani aise
Niaje mkuu mzima wewe
achana na Mtambuzi ana mambo yake yasiyo ya kawaida anaweza kuuundia zwenge mpaka uhame jf aise
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mzee nini mbona umeshupalia namna hiyo?? Halafu hii kitu mbona inafanana na ile uliyonisimuli kisa cha wewe kuhamia Arusha??!! Mr Rocky kukasirika mwiko katika hii post pulizi

Dena Amsi ile si ilikuwa siri yako na nilikuambia wewe tuu mbona unaileta chit chat sasa mpaka akina jouneGwalu na Mtambuzi na Filipo na CHARMinglady na sweetlady na FirstLady1 na Erickb52 na Arushaone wapate la kuongea aise

Umehamia lini kwenye kambi ya wazee wewe?

Hivi unamjua Mtambuzi kweli?

We fuatilia hii sred mpaka mwisho utaona atakavyouza utu kwa bei chee, inawzekana kijana wangu alighafirika baada ya kunyang'anywa tonge ila nina uhakika hiyo hujuma aliipanga huyu huyu mleta taarifa.
jouneGwalu huku ni nyumbani aise
Niaje mkuu mzima wewe
achana na Mtambuzi ana mambo yake yasiyo ya kawaida anaweza kuuundia zwenge mpaka uhame jf aise
 
Aisee Filipo.....

Habar ya.... habari yako mzee,
Hivii kwan-ni siku zile ulivyoondoka ndio vipi hukunia... hukuniaga mzee wanguu.... Mimi nipo bana , najarbu jarbu misheni town na kupiga longo.. lo, longo longo hapa JF mzee wangu...................

Hapa inaonekana Mzee Mtambuzi umeshindwa kabisa kutambua! Mimi nimemwoa marejesho miaka mingi iliyopita na enzi hizo nilipeleka ndoo ya maziwa ya mtindi kama kishika uchumba. Mambo ya pete ni ya umri wa akina sweetlady! Hah hah hah!
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume hapaswi kugombana na mwanamke...wanawake ving'asti huringia sana vitobo vyao utadhani huwa havivundi

Hah hah hah hah haaaa! King'asti kumbe mpo wengi!? Hah hah hah hah hah!!!?
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi ile si ilikuwa siri yako na nilikuambia wewe tuu mbona unaileta chit chat sasa mpaka akina jouneGwalu na Mtambuzi na Filipo na CHARMinglady na sweetlady na FirstLady1 na Erickb52 na Arushaone wapate la kuongea aise

jouneGwalu huku ni nyumbani aise
Niaje mkuu mzima wewe
achana na Mtambuzi ana mambo yake yasiyo ya kawaida anaweza kuuundia zwenge mpaka uhame jf aise

Mkuu vita yangu huiwezi maana nikikuundia zengwe na ukijaribu kujibu mapigo utakutana na ngome yangu ikiongozwa na Madame B, cacico, Ciello, charminglady, marejesho, snowhite, nivea, kisukari, @FP, gfsonwin, Mwanangu King'asti, Binti yangu MwanajamiiOne, Zinduna, lara 1, MadameX, Kipipi, Preta, Erotica na warembo wengine watakushukia mithili ya mwewe akiwania vifaranga......................LOL
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom