Brazameni akadhani Arusha…….!

Mzee Mtambuzi anakumbuka ila hakujua kama mi ndiye nilikuwa na yule binti.... Mr Rocky nilimpenda sana yule dada ila sema alibadilika akawa pasua kichwa sana aisee na alinifanya nikapoteza mwelekeo kabisa

Yeah Erickb52 haikuwa yako wala halikuwa limeandikwa kwako bora lilitoka mapema ukafocus kwenye issue nyingine za maisha kuliko ungebaki na kitu cha kukusumbua maishani mwako ujutie
 
Last edited by a moderator:
Yeah Erickb52 haikuwa yako wala halikuwa limeandikwa kwako bora lilitoka mapema ukafocus kwenye issue nyingine za maisha kuliko ungebaki na kitu cha kukusumbua maishani mwako ujutie
Heheheeee umeona eeeeeh
Hivi hawa wazee wa majungu wenzako mnaojiita Mjungu Squard imemsajili na Mtambuzi ?
Naona anafaaa sana kuwa mwanachama wenu
 
Last edited by a moderator:
Heheheeee umeona eeeeeh
Hivi hawa wazee wa majungu wenzako mnaojiita Mjungu Squard imemsajili na Mtambuzi ?
Naona anafaaa sana kuwa mwanachama wenu
Mtambuzi sio mzee wa majungu ila anatoa fact za maisha na waru walivyotoka mbali kwenye issue za maisha
wako wengi ambao wamepitia hatua kama hizo Erickb52 na bado wengine yanawakuta watu kama hao wasiopenda kujifunza wala kujua kuwa dunia inaelekea wapi na wapipa kujifanya mbabe na wapi pa kumaintain low profile
 
Last edited by a moderator:
Oyaaaa, Nicas Mtei, njoo pande hii aisee....!
Mr Rocky amesha confirm kuwa ni mshakji Erickb52, kwani alishawahi kuwasimulia walipokuwa pale Arusha Night Pack ila alipotosha ukweli.....LOL

kwanza nimpe pole mtambuzi kwa aibu ya rafiki yake, pili umenikumbusha bar maarufu jijini arusha yenye jina la ajabu eti ****** bar, jamani watunzi wa majina loh.
 
Back
Top Bottom