Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
- Thread starter
- #41
BADILI TABIA - We nawe vipi, mi nilifanya fumbo halafu weye unafumbua.............steers oye!
Nini sasa kuweka matangazo ya Biashara hapa MMU, hujui Invizibo akiona huu uzi wangu atanipiga faini kwa kuweka matangazo ya biashara na ndio maana nikafumbia.........LOL
Last edited by a moderator: