Brazameni akadhani Arusha…….!

Last edited by a moderator:
KARIBU mwaya!karibu unimiss mpaka uone raha!hahahahhahahahah sipati picha utakavokuwa unahaha ukinikosa!lol!

Wacha tuu nitakumiss sana aise mpaka nitajihisi kuchanganyikiwa snowhite

Mr Rocky naomba maelezo ya kina hapa plizi kabla harufu ya damu haijasikika...........................

Wife Dena Amsi nimemiss point z\ake kwenye thread humu JF dear wala sio kihivyooo unavyofikiria
wala bp na shell zisikupande

Wala sijaona ni kweli kabisa.............................

bora hujaona maana nakujua ulivyo na wivu unaweza pasuka aise
 
Last edited by a moderator:
Hapa nahisi kuna nguvu ya ziada inakuongoza kwa kweli mmmh

Acha uoga mkwe, huyo Babu hana jipya anamendea vya vijana umeona mapicha aliyoweka hapo juu? Mi siwezi kumuacha asee, akinizidi najua Mkwe hutaniacha niumbuke hapa mjini!

jouneGwalu huku ni nyumbani aise
Niaje mkuu mzima wewe
achana na Mtambuzi ana mambo yake yasiyo ya kawaida anaweza kuuundia zwenge mpaka uhame jf aise

Nina mashaka na na Arusha unayokaa wewe, ngoja nimsubiri Erickb52 tupange mikakati!

Mkuu wangu Rocky mi mzima sana, nafurahi kukusoma kama hivi!
 
Last edited by a moderator:
Shemeji unaniangusha bana, tangu lini city garden ikawa mkabala na british council?


Haya sasa mwingine naye sijui kaibukia wapi???!!! Soma post zangu zote utaelewa ......................halafu thread ukiikuta usikimbilie ku-quote post soma btn lines right???!!!!
 
Acha uoga mkwe, huyo Babu hana jipya anamendea vya vijana umeona mapicha aliyoweka hapo juu? Mi siwezi kumuacha asee, akinizidi najua Mkwe hutaniacha niumbuke hapa mjini!


Kwa hilo nakuunga mkono sitakuangusha si unajua tena?!!!
 
Haya sasa mwingine naye sijui kaibukia wapi???!!! Soma post zangu zote utaelewa ......................halafu thread ukiikuta usikimbilie ku-quote post soma btn lines right???!!!!

Shemeji mbona unatoa majibu kama le mutuz bana. Nimekumisi ujue!!??
 
Wewe ndo maana uzee niliukataa mie nayeyusha na wewe unaweka msumari we jamaa sijui vipi???

Ah huu uzee nao huu, unajua tangu asubuhi sijabwia ugoro..... Haya nimikuelewa shemeji..............LOL
 
Bro, kijana wa watu Erick yupo wapi?
Umemfanya nini?
Mbona hatokei kuja kujibu hii shutma ya ajabu?
Naanza kuogopa

Atakuwa anafanya rehearsal ya Zinduna Talk Show, si unajua upele umepata mkunaji?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…