Braza Mke wako mzuri

Braza Mke wako mzuri

af kama sio vyuo vyetu hvii vle vya kuleeeeee
 
Acha wivu. Kwa tunayemjua huyo mtoto ni beauty tangia mdogo. Mtoto wa Mama Abdala aliyekuwa afisa utumishi mkuu wa mahakama kuu. Mtoo amepiga degree yake ya sheria pale mlimani na hana wasiwasi na maisha. Kwenye urembo mpeni credits zake. Kaka kachagua!


Kwa uzuri alionao na akili mu kichwa , haiwezekani akawa mkweree wa Msoga lazima ametoka mbali!!!
 
wale wa forodhani sec enzi za mama busyanykumbe ridhwani ni shemeji!
cc cacico
 
Last edited by a moderator:
attachment.php


hata mimi nimewaona mwaya
 
...na umekaa pahala pabaya....na kila mtu apapenda.....AHM
 
Simply beautiful....and
Education is sexy...AND money makes you more presentable lol ukijua kutumia...
 
Back
Top Bottom