Braza Mke wako mzuri

Braza Mke wako mzuri

Gulaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
659
Reaction score
230
Sema ungerefuka kidogo naona kama kakupita ivii
 

Attachments

  • 312151_468217546587290_1759434777_n.jpg
    312151_468217546587290_1759434777_n.jpg
    92.4 KB · Views: 1,604
Nimemuona Riz 1 kakenua
Hivi huyo ndiyo mkewe?
 
Watu sijui hamuelewi........
Binadamu wote tumelingana........kutoka kiunoni kwenda chini......kwingine urembo tu.........

wewee dada preta si kwel kwamba toka kiunoni mpaka chini tupo sawa..mfano mzuri iyo picha
 
perfect!! kitu cha ukweli na she luks elegant bidada achene tuu. sio demu jeans nani kakwambia jeans nguo za mwanamke
 
maadili mema hakuna tatoo wala jins kuweka viuno nje so god amepata nondo yake safiii :nod:
 
Dah miguu ka supoku!! Bora angevaa overall tujue ni fundi..
 
Demu safi sana, napenda wanawake wanaojipenda si wale kama kina Wema na vicheche wengine wa bongo fleva na movie. Safi sana Ridhi.
 
Pamoja na sifa zote nzuri anazopewa hakunifurahisha aliposoma kwa fedha za bodi ya mikopo ya elimu ya juu akijua yeye hakustahili kupata na watoto wa wakulima wakisoteshwa.
 
Dah miguu ka supoku!! Bora angevaa overall tujue ni fundi..
Pamoja na kuwa beauty is in the eyes of the beholder, lakini nadhani wewe kama hauna makengeza basi unasumbuliwa na wivu. Huyo mwanamke ni mzuri bana


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni 1st lady mwenye mvuto kidogo tofaut na walopita kwan nackia bro naye anataka kuwa pres few yrz to com
 
Demu safi sana, napenda wanawake wanaojipenda si wale kama kina Wema na vicheche wengine wa bongo fleva na movie. Safi sana Ridhi.

Wao wanadhani usupa staa milele..full kujichibua na kujirusha..cheki dada mzuri...kichwani zimo hadi raaaahaaa..cjawahi kumsifia riz wala kumpenda but kwa hili saaafiiiii
 
Kweli kabisa hapa Messenger a.k.a. mwizi Jnr. kafanya kweli, ila ameniiga japo hanijuwi.
 
Back
Top Bottom