Hapati yeyote kwa bei hio!
Hizo kampuni karibia zote ni Mchina na kupata kilicho bora sometimes ni bahati tu ila bila kufuata mkumbo wa nani amenunua nini nakushauri chukua option namba 9 hapo utakuja kunishukuru miaka ijayo, jamaa wako cheap ila Tv zao ni nzuri sana mimi ninatumia mwaka wa 6 sasa simjui fundi ni naniZa mishe mishe ndugu zangu
Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k na huu ndo uwezo wangu kwa sasa
Naombani mnichagulie Brand nzuri kati ya hizi ambayo:-
1. Ina sifa ya kudumu
2. Haziharibiki hovyo
3. Zina ubora nzuri wa picha
4. Brand nzuri zaidi
5. Zinakuaga na uhakika wa kudumu
(6. Na zina kile king'amuzi cha ndani (built in decoder) Japo hiki kigezo sio cha lazima sana wakuu)
Je, kati ya hizi ni ipi brand nzuri kwa hiyo bajeti yangu ya kati ya 270k hadi 330k?[emoji1313]
1. Star x
2. Samsung
3. LG
4. TCL
5. Hisense
6. Solarmax
7. Aborder
8. Boss
9. Kodtec
10. Skywoth
11. Evvoli
12. Goodvision
13. Soyi
14. Maisha
15. Sony
16. Blackstone
17. Hometech
18. Homebase
19. Pinetech
20. Digital
Na kwa hapa Dsm ni wapi wanauza walau tv original na garantee nikanunue hapo maana sehem ni nyingi kinoma
Nawasilisha.
Nunua Hisense mkuu. Ni kifaa...Za mishe mishe ndugu zangu

Kwenye bei ndio panagomba, lakini kweli, bravia ni Kifaa!Sony bravia. Ninayo mwaka wa 10 Sasa, no stress. Ila Bei yake imesimama mkuu, hao kina Hisense wanasubiri Sana.
Hata Hisense Mkuu?1. sony
2. samsung
3. Lg
Hizo nyingne matapu tapu tu hayo..
Sharp ninazo inch422,3,4,5,10 na 15
Baada ya hapo pambana na bei na size utakayo...
Ingekuwa bongo zinapatikana kwa urahisi, kuna hizi brands huwa nazikubali sana kwa umadhubuti
Philips, Sharp, Panasonic na Sony (hii iwe ya Japan)
Ninaziuza 800Sharp ninazo inch42