Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,815
- 10,718
Wewe tapeli rudisha hela ya mwanafunzi
Ukitaka Ubora Hela Yako Haitoshi ,Ila Kutokana Na List Yako Na Bajeti Yako Utapata AbooderZa mishe mishe ndugu zangu
Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k na huu ndo uwezo wangu kwa sasa
Naombani mnichagulie Brand nzuri kati ya hizi ambayo:-
1. Ina sifa ya kudumu
2. Haziharibiki hovyo
3. Zina ubora nzuri wa picha
4. Brand nzuri zaidi
5. Zinakuaga na uhakika wa kudumu
(6. Na zina kile king'amuzi cha ndani (built in decoder) Japo hiki kigezo sio cha lazima sana wakuu)
Je, kati ya hizi ni ipi brand nzuri kwa hiyo bajeti yangu ya kati ya 270k hadi 330k?[emoji1313]
1. Star x
2. Samsung
3. LG
4. TCL
5. Hisense
6. Solarmax
7. Aborder
8. Boss
9. Kodtec
10. Skywoth
11. Evvoli
12. Goodvision
13. Soyi
14. Maisha
15. Sony
16. Blackstone
17. Hometech
18. Homebase
19. Pinetech
20. Digital
Na kwa hapa Dsm ni wapi wanauza walau tv original na garantee nikanunue hapo maana sehem ni nyingi kinoma
Nawasilisha.
Samsung au LG, nina tv mbili za samsung nilizinunua 2013 na moja ya LG nlinunua 2014 mpaka. Leo zipo zinadunda haziwahi kuzingua kabisa.Za mishe mishe ndugu zangu
Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k na huu ndo uwezo wangu kwa sasa
Naombani mnichagulie Brand nzuri kati ya hizi ambayo:-
1. Ina sifa ya kudumu
2. Haziharibiki hovyo
3. Zina ubora nzuri wa picha
4. Brand nzuri zaidi
5. Zinakuaga na uhakika wa kudumu
(6. Na zina kile king'amuzi cha ndani (built in decoder) Japo hiki kigezo sio cha lazima sana wakuu)
Je, kati ya hizi ni ipi brand nzuri kwa hiyo bajeti yangu ya kati ya 270k hadi 330k?[emoji1313]
1. Star x
2. Samsung
3. LG
4. TCL
5. Hisense
6. Solarmax
7. Aborder
8. Boss
9. Kodtec
10. Skywoth
11. Evvoli
12. Goodvision
13. Soyi
14. Maisha
15. Sony
16. Blackstone
17. Hometech
18. Homebase
19. Pinetech
20. Digital
Na kwa hapa Dsm ni wapi wanauza walau tv original na garantee nikanunue hapo maana sehem ni nyingi kinoma
Nawasilisha.
naungana na wewe mkuu!2,3,4,5,10 na 15
Baada ya hapo pambana na bei na size utakayo...
Ingekuwa bongo zinapatikana kwa urahisi, kuna hizi brands huwa nazikubali sana kwa umadhubuti
Philips, Sharp, Panasonic na Sony (hii iwe ya Japan)
bravia hamna kitu mkuu,Sony bravia. Ninayo mwaka wa 10 Sasa, no stress. Ila Bei yake imesimama mkuu, hao kina Hisense wanasubiri Sana.
usimuuze mwenzio...!!Mimi naona Philips ya chogo Ndio Nzuri Kwa uchumi wa Taifa letu achana na flat mkuu,
Ukiwa zako na Hilo mashine utawaungisha Sana TANESCO Kwa kulipia bills!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91]
Hahahahahaha aisee!usimuuze mwenzio...!!
madenge zilikuwa enzi zile za nyerere huu sio wakati wake
mzigo ni flat pekee
Hizo ni moto hataree na singsungHivi Tv za Zec siku hizi hazipo?
Pole sana,mkuu.Wewe ni tapeli
Kuna siku nilileta thread humu kuomba ni namna gani naweza kupata msaada wa rufaa yangu ya bodi ikapita na mimi nikaongezewa chochote kitu maana to be honestly napata mkopo kidogo sana napata asilimia 40 tu na hapo ada ilobaki najilipia mwenyewe,kodi, kila kitu ni mimi tu .
Kiukweli Jf ina watu wazuri sana, wema na wakarimu ila pia na matapeli wapo! Baada ya kuona nimepost hiyo thread kuna mtu humu ni maarufu kiasi japo sio sana alifata pm na kunambia yupo tayari kunisaidia
Na siwezi kuficha chochote kile na kama jf wangeruhusu ningeweka pm zake zote hapa na humu jf anajiita Focustz
Huyu jamaa Focustz anilifata pm akinambia anataka kunisaidia na kwamba ana kaka yake anafanya kazi bodi ya mikopo
Alinambia mara nyingi sio rahisi mtu kushinda rufaa za bodi lakini kwa kua alinambia ana ndugu yake anafanya kazi huko basi akanambia atanisaidia
Mwisho akaniachie namba nimtafute, nikampigia simu tukawa tunawasiliana, kadri siku zilivyokua zikienda alikua akinishawishi na kuniahidi atanisaidia
Akaongea na kaka yake anavyodai alivyomwambia kaka yake alisema hawezi kumsaidia mtu bure bila kumpa chochote kitu na akanitolea mfano alishasaidia watu wengi lakini wakishapata wanakua hawana Shukran na hawashukuru hivyo anataka.chochote kitu
Mimi nilikubali kwakweli, kusema kweli wenyewe mnajua hali zetu tz zilivyo watu wengi wanapenda chochote kitu wanasema mkono mtupu haulambwi japo hii inatengeneza mazingira mabaya ya rushwa, haya mambo nayachukia sana lakini kuna wakati unalazimika tu
Alisema et anataka elfu 50! Mimi nilimwambia hiyo elfu 50 kisa tu nataka kuongezewa mkopo asilimia walau 80, 90 au 100 naitoa wapi wakati mimi hata hela ya kula ni tabu?
Tukaongea sana, nikamwambia aniamini kama akinisaidia ikikubali ndo nitampa,akakataa akasema ashawahi kumsaidia mtu hivyo hivyo hadi huyo mtu akapewa na refund na bodi lakini hakumpa jamaa asante wala nini
Basi akanambia nimtumie elfu 30 kwanza, wakati huo nilikua na elfu 20 tu nikamuomba anifanyie kwa elfu 20 nikija kupata nitampa elfu 30 ilobaki
Nikamtumia elfu 22 ili apate na ya kutolea, baada ya kupata akaniambia nimtumie na form index namba na taarifa nyingine nikafanya hivyo
Tuliendelea kuwasiliana km week hv baadae akawa hapatkani hata ukipiga inaita hapokei wala hajibu msg ukimtumia msg hata humu jf anajikausha km sio yeye
Bahati nzuri nina msg zake zote, Hadi simu zake zote nilirekodi, huyu ni mshenzi na ni tapeli, alitumia matatizo yangu kujinufaisha mungu akulaani popote ulipo na jf wangeniruhusu ningeanika pm zake zote hapa maana nilisikia kuanika pm hadharani ni kinyume na sheria za jf
Focustz nakuita mara 3 hichi ulichokifanya kitakutokea puani siku moja, ulitumia shida zangu kujinufaisha hela zenyewe nilikopa halafu ukanifanyia hivyo, kuweni makini na huyu mtu hata mkitaka niweke simu zote nilizorekodi ninazo,message zake na pm zake, ila nakuahidi utavuna ulichopanda
Anatumiaga namba hizi hapa 0717026364
0789391493 japo kila nikipiga naambiwa hazipatikani......
View attachment 2196311View attachment 2196312View attachment 2196313
Watu mna majina,eti MADENGEusimuuze mwenzio...!!
madenge zilikuwa enzi zile za nyerere huu sio wakati wake
mzigo ni flat pekee