Brand gani ya Flat screen ninunue inayoweza kudumu?

Brand gani ya Flat screen ninunue inayoweza kudumu?

2,3,4,5,10 na 15

Baada ya hapo pambana na bei na size utakayo...

Ingekuwa bongo zinapatikana kwa urahisi, kuna hizi brands huwa nazikubali sana kwa umadhubuti

Philips, Sharp, Panasonic na Sony (hii iwe ya Japan)
Philips ni hatari, tangu enzi za enzi za vichogo mpaka hizi flat wako serious sana.
 
Basi hiyo ni kwa ajili ya soko la china... Ndivyo ilivyo hizi bidhaa wanajitengenezea zao kisha na sisi wanatuletea za size yetu... Hizi china za bongo hovyo kabisa!
Yes maana box lake limeandikwa kichina tupu na ilikuja kutoka China. Kuna friji kubwa nataka kuagiza pia kutoka China huyo jamaa atanichagulia yale yenye display inaonyesha vitu ndani
 
Same na kwangu, ninazo mbili ya china na ya south zote inch 50, ya china iko chini ya uvungu iliyobaki nzima ni ya south...! Ni suala ya muda na tukio tu! Kuhusu uzuri wa display au uang'avu wa picha ni sula la setting tu mkuu! Ukiweka dynamic mbona zote ziko sawa
Hizi Hisense nilishawaonya watu toka mwanzoni kabisa kuwa quality yake sio ya kudumu😅..

Review zake sio nzuri huko mitandaoni kwa wenzetu waliotumia. Best bet for the price ni TCL
 
Kuna hizi TV zinaitwa Star Track, ni android na pia ni 4K zitaendana na bajeti yako. Mfano nchi 43 ni Tshs. 650,000/=, ni za kampuni iliyoko Dubai, website yao ni Television – StarTrack

Hapa Dar zinauzwa Posta duka linaitwa LUCKY DIGITAL. Wanazo mpaka za inchi 19 ambazo zinatumiwa sana kwa CCTV display.

20220128_171043.jpg
 
MTU YOYOTE ANAYETUMIA STAR X ASIKUPE USHAURI KAMA UNA MFUKO MZURI TULIA SONY, SAMSUNG, LG FUNGA MLANGO. STAR X KWA HIZI TV INAONYESHA UCHAFU MTUPU.
 
Za mishe mishe ndugu zangu

Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k na huu ndo uwezo wangu kwa sasa

Naombani mnichagulie Brand nzuri kati ya hizi ambayo:-

1. Ina sifa ya kudumu

2. Haziharibiki hovyo

3. Zina ubora nzuri wa picha

4. Brand nzuri zaidi

5. Zinakuaga na uhakika wa kudumu

(6. Na zina kile king'amuzi cha ndani (built in decoder) Japo hiki kigezo sio cha lazima sana wakuu)

Je, kati ya hizi ni ipi brand nzuri kwa hiyo bajeti yangu ya kati ya 270k hadi 330k?[emoji1313]

1. Star x
2. Samsung
3. LG
4. TCL
5. Hisense
6. Solarmax
7. Aborder
8. Boss
9. Kodtec
10. Skywoth
11. Evvoli
12. Goodvision
13. Soyi
14. Maisha
15. Sony
16. Blackstone
17. Hometech
18. Homebase
19. Pinetech
20. Digital

Na kwa hapa Dsm ni wapi wanauza walau tv original na garantee nikanunue hapo maana sehem ni nyingi kinoma

Nawasilisha.
Chukua homebase hutojutia
 
2,3,4,5,10 na 15

Baada ya hapo pambana na bei na size utakayo...

Ingekuwa bongo zinapatikana kwa urahisi, kuna hizi brands huwa nazikubali sana kwa umadhubuti

Philips, Sharp, Panasonic na Sony (hii iwe ya Japan)
Dunia kijiji aagize tu sharp nawakubali kinyama , ninyao unyama sana sana
 
Wewe ni tapeli



Kuna siku nilileta thread humu kuomba ni namna gani naweza kupata msaada wa rufaa yangu ya bodi ikapita na mimi nikaongezewa chochote kitu maana to be honestly napata mkopo kidogo sana napata asilimia 40 tu na hapo ada ilobaki najilipia mwenyewe,kodi, kila kitu ni mimi tu .

Kiukweli Jf ina watu wazuri sana, wema na wakarimu ila pia na matapeli wapo! Baada ya kuona nimepost hiyo thread kuna mtu humu ni maarufu kiasi japo sio sana alifata pm na kunambia yupo tayari kunisaidia

Na siwezi kuficha chochote kile na kama jf wangeruhusu ningeweka pm zake zote hapa na humu jf anajiita Focustz

Huyu jamaa Focustz anilifata pm akinambia anataka kunisaidia na kwamba ana kaka yake anafanya kazi bodi ya mikopo

Alinambia mara nyingi sio rahisi mtu kushinda rufaa za bodi lakini kwa kua alinambia ana ndugu yake anafanya kazi huko basi akanambia atanisaidia

Mwisho akaniachie namba nimtafute, nikampigia simu tukawa tunawasiliana, kadri siku zilivyokua zikienda alikua akinishawishi na kuniahidi atanisaidia

Akaongea na kaka yake anavyodai alivyomwambia kaka yake alisema hawezi kumsaidia mtu bure bila kumpa chochote kitu na akanitolea mfano alishasaidia watu wengi lakini wakishapata wanakua hawana Shukran na hawashukuru hivyo anataka.chochote kitu

Mimi nilikubali kwakweli, kusema kweli wenyewe mnajua hali zetu tz zilivyo watu wengi wanapenda chochote kitu wanasema mkono mtupu haulambwi japo hii inatengeneza mazingira mabaya ya rushwa, haya mambo nayachukia sana lakini kuna wakati unalazimika tu

Alisema et anataka elfu 50! Mimi nilimwambia hiyo elfu 50 kisa tu nataka kuongezewa mkopo asilimia walau 80, 90 au 100 naitoa wapi wakati mimi hata hela ya kula ni tabu?

Tukaongea sana, nikamwambia aniamini kama akinisaidia ikikubali ndo nitampa,akakataa akasema ashawahi kumsaidia mtu hivyo hivyo hadi huyo mtu akapewa na refund na bodi lakini hakumpa jamaa asante wala nini


Basi akanambia nimtumie elfu 30 kwanza, wakati huo nilikua na elfu 20 tu nikamuomba anifanyie kwa elfu 20 nikija kupata nitampa elfu 30 ilobaki

Nikamtumia elfu 22 ili apate na ya kutolea, baada ya kupata akaniambia nimtumie na form index namba na taarifa nyingine nikafanya hivyo

Tuliendelea kuwasiliana km week hv baadae akawa hapatkani hata ukipiga inaita hapokei wala hajibu msg ukimtumia msg hata humu jf anajikausha km sio yeye

Bahati nzuri nina msg zake zote, Hadi simu zake zote nilirekodi, huyu ni mshenzi na ni tapeli, alitumia matatizo yangu kujinufaisha mungu akulaani popote ulipo na jf wangeniruhusu ningeanika pm zake zote hapa maana nilisikia kuanika pm hadharani ni kinyume na sheria za jf


Focustz nakuita mara 3 hichi ulichokifanya kitakutokea puani siku moja, ulitumia shida zangu kujinufaisha hela zenyewe nilikopa halafu ukanifanyia hivyo, kuweni makini na huyu mtu hata mkitaka niweke simu zote nilizorekodi ninazo,message zake na pm zake, ila nakuahidi utavuna ulichopanda
Anatumiaga namba hizi hapa 0717026364
0789391493 japo kila nikipiga naambiwa hazipatikani......

View attachment 2196311View attachment 2196312View attachment 2196313
 
Back
Top Bottom