Brand gani ya Flat screen ninunue inayoweza kudumu?

Angalia hii kama upo serious nichek
IMG_20220207_115023_254.jpg
 
Hivi yule MZEE wa lolihondo alifarikigi ee? Au bado yupo
 
Za mishe mishe ndugu zangu

Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k na huu ndo uwezo wangu kwa sasa

Naombani mnichagulie Brand nzuri kati ya hizi ambayo:-

1. Ina sifa ya kudumu

2. Haziharibiki hovyo

3. Zina ubora nzuri wa picha

4. Brand nzuri zaidi

5. Zinakuaga na uhakika wa kudumu

(6. Na zina kile king'amuzi cha ndani (built in decoder) Japo hiki kigezo sio cha lazima sana wakuu)

Je, kati ya hizi ni ipi brand nzuri kwa hiyo bajeti yangu ya kati ya 270k hadi 330k?[emoji1313]

1. Star x
2. Samsung
3. LG
4. TCL
5. Hisense
6. Solarmax
7. Aborder
8. Boss
9. Kodtec
10. Skywoth
11. Evvoli
12. Goodvision
13. Soyi
14. Maisha
15. Sony
16. Blackstone
17. Hometech
18. Homebase
19. Pinetech
20. Digital

Na kwa hapa Dsm ni wapi wanauza walau tv original na garantee nikanunue hapo maana sehem ni nyingi kinoma

Nawasilisha.
tafuta sumsung wajukuu zako wataikuta
 
Samsung 32inch ilikuwa laki tano 5 series
 
Kaulize vizuri mkuu...
Me ninazo ya China [emoji630] na ya South Africa [emoji1221] nilinunua kwa ajili ya biashara fulani hivi inahitaji TV kadhaa. Hiyo ya China boksi lake ni jeupe naona ndio iko vizuri kwenye display. Ya South nilinunua kwa agent wa Hisense Bongo ila hiyo ya China niliagizia jamaa anaishi huko akanitumia through Silent Ocean
 
Same na kwangu, ninazo mbili ya china na ya south zote inch 50, ya china iko chini ya uvungu iliyobaki nzima ni ya south...! Ni suala ya muda na tukio tu! Kuhusu uzuri wa display au uang'avu wa picha ni sula la setting tu mkuu! Ukiweka dynamic mbona zote ziko sawa
 
Labda mchina huyo ulinunulia bongo me niliagiza na yule jamaa aliyeninunulia anasomea Bsc. Electronic Engineering yuko vizuri sana kwenye hizo mambo. Settings zilifanyika sawa kabisa na mtaalam pale saloon wakati wa kuzifunga.

Ile ya China ina display nzuri sana na pia ina mdundo mkubwa ingawa zote ni inch 55 na ni ile model ya kioo kinajaa bila frame (frame less)

Labda hizi wanazoleta wafanyabiashara za China zinaweza kuwa famba. Ile yangu ni ya China haswa mpaka kubadili lugha ilibidi tumtafute mchina
 
Basi hiyo ni kwa ajili ya soko la china... Ndivyo ilivyo hizi bidhaa wanajitengenezea zao kisha na sisi wanatuletea za size yetu... Hizi china za bongo hovyo kabisa!
 
Hazina tofauti kihivyo tena ya China ndio naona kama bora zaidi
hai-make sense, kampuni ni ileile iliyowekeza South Africa,

product zinatumia 'standards' zile zile, leo hii useme ya China ni bora kuliko ya SA, au kinyume chake kweli
 
Back
Top Bottom