Brain teaser

Skata mtataJr

Member
Feb 10, 2017
22
26
Changamsha bongo

Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000

B. 18,000

C. 10,000

D. 20,000

E. 8,000

F. 2,000

Jibu jepesi sana. Amepata hasara ya Tsh 10,000.

C.
Mkuu " Kuna 10000 ya jirani inabidi amrudishie Kama ilivyo afu kuna elfu nane original aliyomrudishia tapeli plus mkate wa 2000 so jamaa atakuwa kapata loss ya 20000 Na si elfu kumi "
 
Hapana. Kumbuka kabla Elfu 10,000 haijajulikana feki aliyekuwa amekula hasara ni Jirani. Kala hasara ya 10,000 feki.

Yeye alipokuj kurudisha hiyo 10,000 ndipo alipokula hasara
 
Assume una elfu 10 halafu ndo akaja mteja huyo...ulipopewa hiyo elfu 10 bandia maana yake una elfu 20 ulivyoomba chenji na kumpa mteja means umebaki na elfu 12 ya halali jirani yako ukamrudishia elfu 10.unabaki na elfu 2..means kwenye elfu 10 yako umepungukiwa elfu 8 ambayo ni hasara ya mteja na elfu 10 uliyompa jirani inakuwa 18000...so hasara ni sh 18000....pamoja kwenye hesabu tunaongeza tatizo ili kutatua tatizo ila sio kwa hili....Kichwa kinauma,siuzi duka mimi
 
Changamsha bongo

Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000

B. 18,000

C. 10,000

D. 20,000

E. 8,000

F. 2,000

C
 
Mkuu " Kuna 10000 ya jirani inabidi amrudishie Kama ilivyo afu kuna elfu nane original aliyomrudishia tapeli plus mkate wa 2000 so jamaa atakuwa kapata loss ya 20000 Na si elfu kumi "
Ukimrudishia jirani elfu 10 yake hali inakua imerudi kama mwanzo ulipopokea hiyo elfu 10 feki....
Hasara uliyoipata ni kumrudishia chenji mteja "8000" na mkate wa "2000" ambayo jumla ni "10000"
 
Back
Top Bottom