Chemsha bongo: Thibitisha hapa kuwa wewe una vyeti orijino

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,160
2,000
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?

A. 12,000

B. 18,000

C. 10,000

D. 20,000

E. 8,000

F. 2,000

Jaribu

ELEZEA JIBU LAKO KWA KINA
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
156,493

Hasara roho! Pesa makaratasi
 
Biobenga

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
400
1,000
Kwanza ile 10,000 feki haina thamani au thamani yake ni 0. Jirani amewekwa kwenye swali ili achanganye akili tu lakini kwa kuwa alitoa change ya 10,000 na baadae akarudishiwa 10,000 yake tunaweza tukamtoa kwenye swali.

Kwa hyo kama mteja akitoa 10,000 feki, ukampa mkate wa thamani ya 2,000 na chenji ya 8,000, maana yake umepata hasara ya 10,000 haijalishi change umetoa wapi.

Hivyo jibu ni (C)10,000.
 
Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,536
2,000
ile 10000 inayozunguka mda wote toka kwa mteja kuja kwako mpka kwa jirani ni fake...kwa hyo itoe kwny mahesabu..yn tupa kapuni..

inshu imeanzia hapa...
jirani yako alikupa change ya sh10000 tena halali. sasa tayr una 10000 halali,,, katika hela ile alokupa jirani unampa mteja sh 8000 na mkate wake wa 2000...yani imepotea kama ilivo,,,, inamana hapo wew dukan hujaingiza kitu......isipokuwa umepoteza 10000 kwa kumpa mteja 8000 na mkate juu.......atakua anajisifu sana huko aliko mana nisawa na kusema umempa vyote hvo bureee............haya tuendelee

baada ya kama dk 5 jirani anakustua,,, oyaa hela ulonipa ni fake,,, bs kwa mara nyngne tena unaamua kuchukua 10000 yako nzuri kabisa na kumpa jirani.

HITIMISHO
8000 Ulompa mteja+2000 ya mkate+10000 ulompa jirani-10000 fake=20000.

umepata hasara ya sh 20000.

mlatinoh king
 
Biobenga

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
400
1,000
Wacha nirudi kwa maelezo mengine naweza kueleweka.

Wakati hela feki ipo kwa jirani, unapotoa change ya 8,000 maana yake hiyo hasara ni ya jirani na siyo yako. lakini unabakiwa na 2000 ambayo pia uliitoa kwa jirani.

Jirani akija kudai pesa yake, maana yake sasa wewe ndo utaingia mfukoni mwako na kutafuta 8,000 halali ambayo ukijumlisha na 2000 iliyobaki baada ya kutoa change inakua 10,000.

Mpaka hapo wewe umetoa 8,000 tu kutoka mfukoni mwako lakini usisahau mkate ulioenda bure wenye thamani ya 2,000. Jumla hasara ni 10,000.
 
Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,304
2,000
ile 10000 inayozunguka mda wote toka kwa mteja kuja kwako mpka kwa jirani ni fake...kwa hyo itoe kwny mahesabu..yn tupa kapuni..

inshu imeanzia hapa...
jirani yako alikupa change ya sh10000 tena halali. sasa tayr una 10000 halali,,, katika hela ile alokupa jirani unampa mteja sh 8000 na mkate wake wa 2000...yani imepotea kama ilivo,,,, inamana hapo wew dukan hujaingiza kitu......isipokuwa umepoteza 10000 kwa kumpa mteja 8000 na mkate juu.......atakua anajisifu sana huko aliko mana nisawa na kusema umempa vyote hvo bureee............haya tuendelee

baada ya kama dk 5 jirani anakustua,,, oyaa hela ulonipa ni fake,,, bs kwa mara nyngne tena unaamua kuchukua 10000 yako nzuri kabisa na kumpa jirani.

HITIMISHO
8000 Ulompa mteja+2000 ya mkate+10000 ulompa jirani-10000 fake=20000.

umepata hasara ya sh 20000.

mlatinoh king
Wacha maneno weka muziki...umezunguuka sana.

Watu wengine kueleweshwa kitu huwa awahitaji maelezo mengi.

Unawachanganya..
 
PjMarLu

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
1,433
2,000
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?

A. 12,000

B. 18,000

C. 10,000

D. 20,000

E. 8,000

F. 2,000

Jaribu

ELEZEA JIBU LAKO KWA KINA
Jibu ni D. 20,000/-
Which comes from 8,000/- ya chenji + 2,000/- ya mkate + 10,000/- original uliyomrudishia jirani.
So so simple like that yani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom