brac kazi

dbrane

Member
Jul 23, 2012
31
5
hawa jamaa wa brac jamani wajipange sawa sawa. Niliona tangazo humu ndani juzi kuwa wanataka afisa mikopo. Mi ni mmoja wa walio2ma maombi. Baada ya siku kama 4 hv nkapata sms ikinitaharifu kuwa niwapigie kwa ajili ya kujaza fomu. Kupiga eti mdada kwenye cm anasema ni2me elfu 8 ndo an2mie fomu. Kuna kaz kwel hapo wana jamvi?
 
Matapeli hao halaf ni wadada wa arusha nam kuna frnd yangu kaambiwa atume elfu nane kwenye namba ya voda
 
Achana na wababaishaji hao ,taasisi yenyewe ni ya kitapeli iliwah kumfungia mama mmoja kule songea kwamba ajalipa deni.
 
kimbia kabisa wala usiangalie nyuma. hapo hamna kazi ni ubabaishaji
thanks
 
Siku waliyotangaza hizo kazi tulimwambia yule mwanzisha ile thread mbona email aliyotumia sio ya kiofisi! akajitetea sana kumbe ni tapeli tu.
 
Mimi pia niliwapigia wakaniambia nitume sh.elfu kumi ndo wanitumie form yao nijaze, nilijuuliza marambilimbili hivi inawezekana kweli hii nikiwatumia hiyo hela alafu wasipo nitumia hiyo form itakuwaje? nilijiuliza mengi sana nikajisemea natafuta kazi na nina shida ya kazi kweli lakini siwezi tuma hi hela, Tunahitaji kuwa makini sana jamani sisi ambao bado hakijaeleweka mtaani.
 
pole sana mkuu,mambo ya kazi yana frustrate sana bora nimeanza kujiingiza kwenye ujasiriamali polepole
 
Nipo na jamaa hapa London pub -ubungo xternal, yeye anafanya kazi BRAC HQ-MBEZI BEACH -MAKONDE. DSM, anasema hakuna kitu kama hicho, BRAC hawatozi hela, unapigwa interview ya kuandika and then ya kuonge. Hakuna kujaza form, maombi ya kazi yanatumwa kwa njia ya posta au unapeleka kwa mkono, na sio email. Hao ni matapeli kimbia fasta, walipoti kwa kamanda kova haraka sana. CPA(T)
 
Kumbe,subiri
 
acheni kukariri kila kitu utapeli nani akutapel sh 8000 kuweni waelewa haya vipi walioenda ofsini kuchukua form na kupewa risiti nao wametapeliwa? hatuna njaa za kiivyo
 
Back
Top Bottom