Boxing: Kiduku amchakaza bondia kutoka India

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,803
3,472
Tia neno kama unafatilia mapambano yanayoendelea

Kiduku1.jpeg


Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya Harpreet Singh wa India kwa TKO baada ya kumalizika Raundi ya Tano.

Ngumi mfululizo zilizotua usoni kwa mpinzani hasa kuanzia Raindi ya Nne na Tano zilimfanya Singh kukubali matokeo katika Raundi ya Tano na kushindwa kuendelea na pambano.
 
Nawacheki hawa Swahibu Ramadhan vs Charles Chilala aisee pambano kali sana.

Hawa jamaa wote wawili hasa huyu Chilala nawaona mbali sana miaka ijayo.
Hiyu aliyevaa pensi ya blue na kitambaa cheupe ni nan
 
Back
Top Bottom