Twaha kuduku is overrated ukweli ni bondia wakawaida sana

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,875
Ukweli usemwee juu ya mTanzania mwenzetu na mwanamichezo wa mchezo ngumi nchini ndugu Twaha kiduku kuhusu uwezo wake mdogo katika mchezo wa ndondi, naheshimu kipaji chake na kazi yake ya ngumi lakini baada ya kutazama pambano lake la Leo dhidi ya bondia mzee mwenye miaka 45,ndugu mohamed sebyala kutoka Uganda, na mapambano yake zaidi ya matano ya nyuma ikiwemo alilopoteza dhidi ya bondio kutoka south Africa inatosha kabisa kufanya analysis na kugundua huyu ni bondia wakawaida sana ambaye anapewa sifa nyingi za ubora ambao hana hata chembe.

Twaha kiduku ni boxer asiyekuwa na skills na inaonekana huwa hafati game plan za makocha wake, kwa kifupi ni bondia mkurupukaji ULINGONI anayerusha ngumi hovyo hovyo kama punguani . Anatumia nguvu nyingi kuliko akili na siku zote anategemea bahati nasibu ili kushinda. Simuoni Twaha kiduku akitamba kwa boxers kama Mwakinyo, ibra classic, mfaume mfaume, selemani kidunda, n.k, kama akipagana nao regardless ya weight class yake bado wanaweza kumtwanga kipigo cha mbwa koko.
 
Usiseme twaha mbov usema enzi yake imeisha.
mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa Mike tyson. Wakati ana malizia ngumi zake.akaanza kuchezea kichapo.nilikuwa naamini atakuja kuamka tena.
 
Ukweli usemwee juu ya mTanzania mwenzetu na mwanamichezo wa mchezo ngumi nchini ndugu Twaha kiduku kuhusu uwezo wake mdogo katika mchezo wa ndondi, naheshimu kipaji chake na kazi yake ya ngumi lakini baada ya kutazama pambano lake la Leo dhidi ya bondia mzee mwenye miaka 45,ndugu mohamed sebyala kutoka Uganda, na mapambano yake zaidi ya matano ya nyuma ikiwemo alilopoteza dhidi ya bondio kutoka south Africa inatosha kabisa kufanya analysis na kugundua huyu ni bondia wakawaida sana ambaye anapewa sifa nyingi za ubora ambao hana hata chembe.

Twaha kiduku ni boxer asiyekuwa na skills na inaonekana huwa hafati game plan za makocha wake, kwa kifupi ni bondia mkurupukaji ULINGONI anayerusha ngumi hovyo hovyo kama punguani . Anatumia nguvu nyingi kuliko akili na siku zote anategemea bahati nasibu ili kushinda. Simuoni Twaha kiduku akitamba kwa boxers kama Mwakinyo, ibra classic, mfaume mfaume, selemani kidunda, n.k, kama akipagana nao regardless ya weight class yake bado wanaweza kumtwanga kipigo cha mbwa koko.
Hujatuambia pambano liliishaje,usije kuwa umeliwa pesa yako ya kubet unamalizia hasira zako humu JF
 
Hata Mimi nililiona hili.Jamaa anazidiwa hata na yule Oscar.Jamaa ni WA kawaida sana.
 
Katika michezo hasa Africa kitakachokupa ugali sio kipaji Kama kipaji but is how you can maintain ur fame . in Fans's mouths
 
Naona tu wadigo mmekuja juu jamaa kwahiyo aache ngumi akale wapi?

Sio bondia mzuri basi akipigana zima TV easy
 
Kweli Twaha hana fighting skills, technique zero hajajifunza kitu toka kwa yule msouth na katompa , anajaza mwili badala kuwekeza kwenye punching skills and punching speed
 
Twaha ni mkurupukaji asie na skills...kinachomsaidia ni nguvu na uvumilivu, na pia nyodo za Mwakinyo zimemfanya kuwa kipenzi cha wabongo
Kwa uzito wao bondia bora kabisaa ni Kidunda tuu
Umenena vyema mkuu, wengi tumejikuta tunamchukia Mwakinyo kwa nyodo zake lakini sasa mafuta na maji vimeanza kujitenga
 
Kweli Twaha hana fighting skills, technique zero hajajifunza kitu toka kwa yule msouth na katompa , anajaza mwili badala kuwekeza kwenye punching skills and punching speed
Umeongea kiufundi, jamaa anatunisha tu mwili, kwa kifupi amewekeza kwenye kula ugali mkubwa wa dona na matembele jambo linalozidi kumdumaza akili
 
Back
Top Bottom