Boxer Mwana Fa

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Rapper mahili na ex-member wa kundi la East Coast Team Hamis mwinjuma a.k.a Mwana Fa sasa amegeukia upande wa pili wa burudani yan Masumbwi(boxing).
Star huyo wa 'Yalaiti' amepanga kuzichapa na Khalid Chokoraa siku ya jumapili tar 18 pale Mzalendo pub,pambano hilo limeibuka baada ya mwana fa kuhama gym aliyokuwa akifanyia mazoezi na khalid chokoraa ambayo inamilikiwa na Kaseba,pambano hilo litakuwa linaamua kuwa gym ipi ni kali kati ya kaseba na gym mpya ya Fa na kuondoa ubishi wa siku nyingi kati ya mshika suruali (Fa) na mkata viuno (Chokoraa).
Pia kutakuwa na pambano la awali kati ya Hussein Machozi na meneja wa mapacha wa tatu (Dakota) ambao wana bifu la kiukweli baada ya Husein machozi kuzingua kupga show nchini Kenya ambayo iliandaliwa na Dakota,na kuna taarifa zinasema kuwa walishawah kuznguana kchini chini na kukunjana kitaani yoo...
 
yeh!.. wanaume lazima wa sattle issue ulingoni sio kutupiana vijembe .. hayo mambo waachiwe watoto wa kike ... nimeipenda hii... mtu akishindwa anaweka heshima...

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Hamis dacota king'asti wa sada wa jise kashinde kapata wapi pesa ya kuandaa pambano nairobi na machozi asije pelekeni njaa zenu
 
Hamis dacota king'asti wa sada wa jise kashinde kapata wapi pesa ya kuandaa pambano nairobi na machozi asije pelekeni njaa zenu
hahahahha halafu ana yule dadake mwenye vijisenti anamchambaga kama kikojozi...ukome kutumia jina letu bla bla bla nikasema kazi ipo!
 
yeh!.. wanaume lazima wa sattle issue ulingoni sio kutupiana vijembe .. hayo mambo waachiwe watoto wa kike ... nimeipenda hii... mtu akishindwa anaweka heshima...

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

Hivi Mwana FA nae ni mwanaume?
 
hivi mwana fa anaumwaga nini??
Nasikia tu anaumwaaaaaaaaa
ila sijui anaumwaga nini
 
Back
Top Bottom