Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani. Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.
Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.
Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha polisi jamani, hapa nshaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.