Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

Nini sasa kwani ?

Think big. Kuna wenzio wanakuja huku wanalalamika jamaa anakuja anakula chakula anagonga na nyuchi anasepa haachi hata senti tano, sasa huyo alokutengenezea raketi ya maisha unambaniaje sasa? Huyo ndo anafaa umtunuku sasa sio wasenge wasenge hata hawana msaada na maisha yako. Acha ukumbafu wewe. Kuwa mwerevu !
Duh
 
Hamna kitu Hapa unajaribu kueleza Kinamake sense kwetu.kama ulithubutu kufanya ivo ulivofanya inamaana we ni mwanamke thabiti na hupaswi kujfanya Sasa huna solution juu ya kile umekifanya.ni msivu wa kuandaa mashamba Sasa hujachelewa.
 
HUYO BOSS HAJUI KUTONGOZA MPAKA ATUMIE NGUVU? WEWE NENDA, LAZIMA ATAJISKIA AIBU, WAKIKUELEMEA UNAMWAGA UBUYU. ILA ENDELEA NA MSMAMO WA KUMKATAA HUWEZ JUA KAWAFANYIA WANGAP NA AFYA YAKE IKOJE. UKIWA MTUMWA WA NGONO KWA AJILI YA KAZ ITAKUTESA, NENDA ILA SIMAMIA UNACHOKIAMIN
 
Yan umeitwa kazini baada ya wiki unachaguliwa kwenda kuwakilisha mkoani. Mmmh kwa maexperience gan na ulikua bush. Hapa umetuibia.

Na ukiwa mkoa kama wa mbeya usiku sidhani kama madirisha hua yanaachwa wazi. Na nguo zako ulizirudia mbeya?
 
Pole sana ebu nenda ukamsikilize boss na sidhani kama atarudia tena atakuwa kajifunza labda anataka kukuomba msamaha
 
Mnaona watu wanapendeza na kuemdesha Magari mazuri tu mjini hamjui hata kazi walipataje!!??
Ongea vizuri na boss atakuelewa kuliko kukaa kimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom