Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.


Bacyclerbacy

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Messages
1,640
Likes
2,764
Points
280
Bacyclerbacy

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2016
1,640 2,764 280
Habar zenu

Bila kuwachosha,Baada ya kusota sana mjini kwa kutafuta kibarua nilikata tamaa kabisa ya kupata kibarua na kuamua kurudi kijijini,kama mnavyojua familia zetu nyingi za kiafrika mtu ukienda mbwinde unavyo chaa kwa kubeba kuni huku unatembea bea(bila viatu)ndo raha yani na ule moshi sasa ndo dooh unafanya unazid kuchoka.

Hata hvyo nilikaa kwa kipindi kifupi tu,Siku moja asubihu na mapema nikapata ujumbe kutoka kampuni x niende kwa ajili ya interview,aaah nilichukulia poa nikasema Sijui nisiende maana nimeshafanya kama 20 hiv,fine nikajishaur nikaona ngoja niende tu ya Mungu mengi bana

Nilifanikiwa kuwasili na kufanya kilichonipeleka na bila kuchelewa nilijibiwa kuwa nimelita (nimepata kazi)

Nilianza kazi lkn sura yangu ilikuwa imechoka sana ule uzuri wa cocoa butter ckuwa nao,Nashkr pia nilipata Boss mwenye upendo na alijua nimetoka kwenye hali gani hvyo akanipa pesa ya matumizi yaani nje kabisa ya mshahara wangu

Baada ya wiki moja kukatokea safari ya kwenda mkoani huko na boss alinichagua mm ndo nikawakilishe,lkn tunaenda wote mm na yeye.
Tulisafiri tukiwa wawili tu kwenye gari hadi mkoani Mbeya lkn tukiwa njiani boss alianza kufunguka anachohc yeye moyon mwake me nilampotezea asiee nilijua anatania kwanza maana ni very charming

Tulimaliza vema kilichotupeleka na ilipofikia usiku saa mbili hv tukaenda sehem kupata chakula kabla hatujashuka kwenye gari alifunga madirisha yote na wala sikushtuka nilijua kwavile tunashuka khaaaa nafungua mlango haufunguki namwambia mbona mlango hufunguki doooooooh boss kabadiliikaaaa suruali imevimba macho kama analia,sauti haimtok vizur kama mwanzo
Boss alinilazimisha saaaaana (dfxascgg)bila mafanikio yoyote lkn hakukata tamaa aisee tulipigana na ckuamini nimeutoa wapi ule ujasiri kulikuwa na chuma kidogo cha kunyanyua kufanyia mazoez nilikuchukua nikapasua dirisha la gari,khaaaaaaaa bado tu ananiganda nikaanza kupiga kelele sasa akawa kama amechanganyikiwa huku amejikata na kioo mm pia niliumia kidogo mkononi ila nikafanikiwa kufungua mlango nikatoa mbarutiii hizooo

Nilitafuta sehem ya kulala tofaut na pale tulipofikia bahat nzur kazi tulishamaliza hvy ilipofik asubuh nilipanda bus nikarud zangu
Ni cku ya tatu tangu leo tangu nirud nawaza kazi cjui itakuaje maana cjakanyaga na boss cjui yu hali gani napigiwa simu kazini imekuaje kwani mbona boss amerudishwa na dereva pia presha imeshuka sana na kavamiwa na majambazi kachanika mokononi mm nilikuwa wapi wakati huo mbona nimerud nipo kimya kwahy naambiwa niende boss ananiita na gari ipo polisi

Naogopaa hata cjui nifanyeje hasira hizi zinaniponza sasa naona dalili ya kibarua kuota nyasi na kusudi kijijini hii sio shida saaana kama sio kwenda rumande kabisa
Cjui nani ataniamini huko
 
H

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Messages
372
Likes
507
Points
180
H

haszu

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2017
372 507 180
Na ww mpe kinguvu ngoma droo
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,898
Likes
2,866
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,898 2,866 280
Usimpe tu!! Bora urudi kijijini ukachakae tena na ufanye tena interview 20 hivi utapata sehemu nyingine./
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,898
Likes
2,866
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,898 2,866 280
Usimpe tu!! Bora urudi kijijini ukachakae tena na ufanye tena interview 20 hivi utapata sehemu nyingine./
 
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,309
Likes
1,617
Points
280
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,309 1,617 280
Mpe tu hakikisha anavaa kondom
Ila usijipodoe wala nini usioge siku mbili wala kuchamba K
Then panga nae siku mpelekee mzigo
Bamiti mwenyewe akifungua zigo linatoa harufu atakula kwa shida kwa sababu kaliomba mwenyewe baada ya hapo nakwambia kama ni mwanaume mwenye kinyaa hatakusumbua tena nyoko zake
 

Forum statistics

Threads 1,235,536
Members 474,641
Posts 29,226,002