Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

Sasa hicho chuma cha mazoezi ulitoa gym,story zingine kma sukari ilikua 5000@kg 2015
 
Mmmmh pole sana dogo unapitia changamoto sana, Punguza chura huyoo shauri yako, ila utapata kwingine mdogo wangu Mungu atakusaidia maana keshaanza itikia maombi yako
 
Hapooo utakutaa anamkataa boss kwasabab ya kisharobaro kimoja kisichokuwa na mbele wala nyuma!! Wanawake hawa
 
Mmmmh pole sana dogo unapitia changamoto sana, Punguza chura huyoo shauri yako, ila utapata kwingine mdogo wangu Mungu atakusaidia maana keshaanza itikia maombi yako
Ameeeeeenaaaa,Nimekumic my kaka [emoji85] wifi hajambo
 
Mkaribie MUNGU kwa maombi basi kila kitu kitakatifu sawa
 
Mtoa post hujielewi wewe....nimepitia thread zako zote inaonesha unawainjoy watu kwa kujifanya unaomba ushauri!

Stop that! Its a childish behavior!
zina nini Post mkuu sioni tatizo wala utani WA hili KWA nilivyoziangalia mimi
 
jitambue wewe mdada huo ni utu wako unautoa,na huo ndio mwanzo wa kuwa mwanamke malaya...jitunze Mungu yupo akikufukuza utapata kazi nyingine,ukimpa ujue ndio basi tena ishaingia hiyo ikirudi pancha.
 
Mpe tu hakikisha anavaa kondom
Ila usijipodoe wala nini usioge siku mbili wala kuchamba K
Then panga nae siku mpelekee mzigo
Bamiti mwenyewe akifungua zigo linatoa harufu atakula kwa shida kwa sababu kaliomba mwenyewe baada ya hapo nakwambia kama ni mwanaume mwenye kinyaa hatakusumbua tena nyoko zake
watu wanakula vichaa mpaka wanawapa mimba bro.
 
Sasa hicho chuma cha mazoezi ulitoa gym,story zingine kma sukari ilikua 5000@kg 2015
Sasa wewe na akili yako yote unadhani vifaa vya mazoezi vinapatikana gym tu? Mara nyingine muwe mnapumzika tu mtupunguzie post zisizo za lazima.
 
Back
Top Bottom